Yupo na anaweka link kama kawaida hajauona tu huu uziMno. Mno yani. Hivi kapigwa ban ama? Simuoni jukwaani hizi siku mbili tatu. Sikutaka kumchongea kwa mods lakini nilitamani wamgundue wamwondoe.
[emoji3][emoji3][emoji3]1. Attention whoring.
In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...
Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.
Mno. Mno yani. Hivi kapigwa ban ama? Simuoni jukwaani hizi siku mbili tatu. Sikutaka kumchongea kwa mods lakini nilitamani wamgundue wamwondoe.
AhhahahhaYupo na anaweka link kama kawaida hajauona tu huu uzi
Akija hapa ataweka nawaambia mna bahati hajauona uziAhhahahha
Najua nakereka peke yangu kumbe ni wengi [emoji3][emoji3][emoji3] huwa nabaki naangalia na kuchekaAkija hapa ataweka nawaambia mna bahati hajauona uzi
TayariiiKwako sina ujanja lakn
Hhhhaaaa mfano naniSipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
Hii vita haiwezi kuisha....Sipendi tabia ya kutusema wanawake vibaya humu,sasa hiv tumewaundia dawa mujarabu kabisa
Ananifurahisha sanaNajua nakereka peke yangu kumbe ni wengi [emoji3][emoji3][emoji3] huwa nabaki naangalia na kucheka
Labda ni utafitiSipendi mtu mwanaume halaf anatumia avatar ya kike au mwanaume anatumia i'd ya kiume na kujifanya yeye ni ke ndio nini sasa au unatuonea wivu
Ipo mijitu humu imejaa ina hizo tabia sijui inapata faida ganiHhhhaaaa mfano nani
Ahahhahha halaf huwa naona kama anafanya maksudiAnanifurahisha sana
Kwahiyo mkuu we na urijal wako unaweza kufanya huo utafitiLabda ni utafiti
Anajaribu kujua mambo yakoje kwa watoto wa kike JF. Maana visanga vya PM tunavyoskia vinatia ashki ya kujua zaidi.
Kuna sehemu karusha katolewa mkuku nilichekaaAhahhahha halaf huwa naona kama anafanya maksudi
AhhahahaHii vita haiwezi kuisha....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona uzi umefunguliwaKuna sehemu karusha katolewa mkuku nilichekaa