pinky toto
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 215
- 121
ukikosea kuandika comment huwezi ku edit
hahaaaa daahhUkiona huyu mtu anakupm ni kukusumbua na salaam nyingiii akiingia akitoka salaam we mchunie tu mana wanaume wa humu wanapenda kusalimia salimia pm hata mara 5 kwa siku
haaaahaa ñgoja nikuongezee na popcorn mkuuhehehehe ngoja nile zangu pepeta mie hapa
huwa mnapeana Pesa huko ..au ??Ngj nikakuchungulie maana naona pm Imejaaa mpaka inakataa kufunguka inaniambia "please wait"
dadeq ...aiseeeewoyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
hahaaa unataka kuwajua wasio wapenda ..daahhHahahahaha ngoja niangalie waliolike kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
umekomaa mno kiakili aisee
we acha tu mkuuJf siku hizi kuna mataahira mengi
Una edit vp kitu ushaki post mwenye thread?Unaweza ku-edit mkuu!
Look harder!
JF nyoko hahaaMbona kuna yule jamaa kaweka likatuni libaya halafu madem mnavyomshobokea sasa kutokana na story zake za uongo tuu[emoji51]
Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yakeSipendi wanaume, nataman ht dunian tungebaki wanawake tu.
USALITI, UONGO
jaaaaahh hii Kali1. Sipendi wakaka wanaoringa ukiwaibukia pm kuwaimbisha
2.Sipendi wadada wachoyo wasiotaka tushee wapenzi wao
Mmmmh hawa watu
correctlyBahati nzuri sana sinaga mazoea na wanaJF nje ya majukwaa kama haya, hivyo mimi si mhanga ila huwa sipendi kuona uzi wa kusemaTrump tower yuko hivi na vile. Huo ni umbea na mimi sipendi umbea
hahaaaahhahaha ngoja nikae kimya mie !kubishana na madenti sio uungwana ujue !
hahaa hamjatofautiana mkuu maana nimekufuatilia vyema ..hizo back vocal ulizokiwa unazipiga ni hatari utasema waitikiaji wa the sikindeHhhhaaa unataka kumsema nanii
Halaf nimegundua we bonge la mchokozii
hahaaaMapipa tupu ukiligonga pipa tupu linalia puuuuuu ,,nyie hakuna kitu
Hata mkinidharau hamnifikii hata roboo