Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Ukiona huyu mtu anakupm ni kukusumbua na salaam nyingiii akiingia akitoka salaam we mchunie tu mana wanaume wa humu wanapenda kusalimia salimia pm hata mara 5 kwa siku
hahaaaa daahh
mimi sipo mkuu
 
woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
dadeq ...aiseeee
kumbe mlikuwa mnastahi kwa muda mrefu tu daahh sio kwakutapikiwa nyongo kiasi hiki
 
Hahahahaha ngoja niangalie waliolike kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Cc Smart911
hahaaa unataka kuwajua wasio wapenda ..daahh
jf bhana
ila mimi naona kama uzi huu unamtu mkuu zaidi unayemlenga nyie mlitolewa chambo tu kujazia story ..kama wali vyotolewa chambo kina wema katk ile issue ya madawa
 
Sipendi wanaume, nataman ht dunian tungebaki wanawake tu.
USALITI, UONGO
Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
 
Bahati nzuri sana sinaga mazoea na wanaJF nje ya majukwaa kama haya, hivyo mimi si mhanga ila huwa sipendi kuona uzi wa kusemaTrump tower yuko hivi na vile. Huo ni umbea na mimi sipendi umbea
correctly
 
Hhhhaaa unataka kumsema nanii
Halaf nimegundua we bonge la mchokozii
hahaa hamjatofautiana mkuu maana nimekufuatilia vyema ..hizo back vocal ulizokiwa unazipiga ni hatari utasema waitikiaji wa the sikinde
 
Back
Top Bottom