Andika usichokipenda humu JamiiForums

Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
hahaaaa..sasa kama mzazi wake wajinsia yake mwenza alibakwa ndio akapatikana yeye utayajulia wapi hayo mkuu...wacha atuchukie tu
 
hiyo sentensi yako ya mwisho
kero zake zimeshajitokeza tena kwenye huu huu uzi ..kwakweli sijapnda TUISHI KWA UPENDO BANDUGU
 
Umenikumbusha mbali sana miaka hiyoooo nipo shule niko mpoleeee, bas kulikuwa na bidada mmoja mzuuuriiiii ila sasa anapenda kutia mafuta watu wakigombana yaani atachochea mafuta hadi wapigane bas yy burudani hahhaaaa
na hiyo kazi dina anaimudu vyema haswaa haaha maana alikuwa anatia mafuta mnoo
 
Pale napotamani kupata marafik wa kike na kukuta thread imefutwa
 
hahaaaa ule mtongozo unapatikana Pluto huko sio hapa duniani
 
kama kweli kisa ndio hiki ulichokisema
basiii daahhh ..kina wa haribia mnooo naku washusha ..haya si mambo ya kitoto kabisa haya
mnaanzaje kuwa na tofauti kwaajili ya issue kama hizi wakati mkiwa kama vijana mna mambo mengi tu yakufnya..honestly sijapnda mli vyokuwa mnavutana onyesheni kukomaa kiakili zaidi kama vile ambavyo mnavyo amino kuwa MNA akili haswaa..najua akili mtakuwa kweli but mmejikuta mnateleza tu kutokana na udhaifu tulionao as binaadamu...
Hanna sababu yakuvutana kwa ajili ya mambo yasiyo na tija kama haya

samahani mbiti ..but imenibidi niseme tu
 
Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
Yaweza kuwa pia, lkn ucwe na haraka ya kukosoa km hujaelewa.
Mtoa mada kasema keroooo
 
hahaaaa eti pua kubwa
mbiti akili zako wazijua mwenyew aiseee
 
hahaaaa watu wa humu daaahh Jf sihami manina ..sipndi umbea but huu wahumu umevuka viwango vyote nahisi huwa inakuwa na muihuri ya TBS..daahh hahaa
 
Wakati Unavua Hukuweka Akiba Ya Maneno Siyo? Wakati Kinazama Hukusema Mngese Siyo? Wakati Unakuja Lukundo Lodge Hukujua Kuna Siku Kama Ya Leo Utatajwa? Any Way Fanya Kazi Zako but Kumbuka Kuweka Akiba Ya Maneno Jemi.
hahaaaa jaahh..hahaaa
 
ha ha ha ha poleeee kabisa chupi yangu nikuvulie wewe na unaonekana ulivyo pashu kama mngese wa kihindi naanzaje kukuvulia chupi .

Mamaaa weeee ha ha ha I'm sory nipo bize kwa vitu vyra msingi so kaa mbali na Mimi manina zako.
hahaaaa
 
hahaaaa watu wa humu daaahh Jf sihami manina ..sipndi umbea but huu wahumu umevuka viwango vyote nahisi huwa inakuwa na muihuri ya TBS..daahh hahaa
Hahaa acha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…