Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
hahaaaa..sasa kama mzazi wake wajinsia yake mwenza alibakwa ndio akapatikana yeye utayajulia wapi hayo mkuu...wacha atuchukie tu
 
---Story zisizo na kichwa wala miguu (za kusadikika)

---Wapenda sifa za kijinga (kujisifia yeye ndio mjuzi wa kila kitu/mbabe yeye/muhuni yeye/mjanja yeye/fundi yeye/mtaalamu wa kuteka wasichana yeye n.k

---Too many IDs hadi zinaunganishwa

---Watu wanaobishana bila kuwa na hoja/data

---Mambo ya fb (yasio na maana) kuyaleta humu

---Baadhi ya members kukoseana heshima na kuanza kutukanana
hiyo sentensi yako ya mwisho
kero zake zimeshajitokeza tena kwenye huu huu uzi ..kwakweli sijapnda TUISHI KWA UPENDO BANDUGU
 
Umenikumbusha mbali sana miaka hiyoooo nipo shule niko mpoleeee, bas kulikuwa na bidada mmoja mzuuuriiiii ila sasa anapenda kutia mafuta watu wakigombana yaani atachochea mafuta hadi wapigane bas yy burudani hahhaaaa
na hiyo kazi dina anaimudu vyema haswaa haaha maana alikuwa anatia mafuta mnoo
 
Nimetoroka kidogo kazini

ki ukweli Vladimirovich Putin huo mtongozo wako una phd ulifaa uwe gavana wa benki. Hawa kina mbity,dina naona wanaona wivu aisehh embu watupie vile vi katuni wapoze nyoyo zao.

alafu nakuomba unifundishe mtongozo maana hapo nilishafeli na tu picha tule maana mtongoza kwa mima mpaka nimefall in love mimi
hahaaaa ule mtongozo unapatikana Pluto huko sio hapa duniani
 
hhaha namfaham vlad kijuu juu tu ! kuna mtu aliwaj nijia pm akaniambia vlad ana maneno mazuri na amevutiwa naye nikamshauri kihenga kuwa huyo nimtoto achana naye hahaha bi bidada akayapeleka km yalivyo !ndo chanzo cha haya maneno !alikua mshikaj hatar yaan ile ya kuitana majina mabayaa we paka upo nimekumis nyau wangu !mara muitane mbweha things like tht ! sasa bidada akamwambia nilivyomchana !hahaha vlad alikua mshikaj haipit siku msichat !sijaruka popote kuwa hakuwa mshikaji ! na nilishindwa kucope naye yeye alikua field nikawa nashindwa kuchat naye !hahah uwii
kama kweli kisa ndio hiki ulichokisema
basiii daahhh ..kina wa haribia mnooo naku washusha ..haya si mambo ya kitoto kabisa haya
mnaanzaje kuwa na tofauti kwaajili ya issue kama hizi wakati mkiwa kama vijana mna mambo mengi tu yakufnya..honestly sijapnda mli vyokuwa mnavutana onyesheni kukomaa kiakili zaidi kama vile ambavyo mnavyo amino kuwa MNA akili haswaa..najua akili mtakuwa kweli but mmejikuta mnateleza tu kutokana na udhaifu tulionao as binaadamu...
Hanna sababu yakuvutana kwa ajili ya mambo yasiyo na tija kama haya

samahani mbiti ..but imenibidi niseme tu
 
Soma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
Yaweza kuwa pia, lkn ucwe na haraka ya kukosoa km hujaelewa.
Mtoa mada kasema keroooo
 
huo ndo ukweli ! inakujia akilini mie mdada ninakamata vimia mia nimuombe mtoto wa chuo tea anayetegemea boom?? hivi mpo srious kweli? ni kma leo mie nimuombe mdogo wangu grace pesa yake ya boom !si wehu huo ?
inakera sana ! mtu akipata kiboom anakujia pm anakuuliza afanye nn na nn leo anakuja hapa pua kubwaaa ohhh nyoko nyoko !mcxiewwwww
hahaaaa eti pua kubwa
mbiti akili zako wazijua mwenyew aiseee
 
Nimekwambia Ukae Kimya Hutaki, Sasa Mimi Na wewe Nani Anstahili Kufua Chupi. Umesahau Pale Kimara Ulifua Kichupi Chako Ukaweka Kwenye Pochi Ukisema Utakianika Ukirudi Kwako? Au siyo Wewe... Hakyanani Kama Mkuki Tu Jamaa Wako Atauvumilia Tu Ajipangeeeee.
hahaaaa watu wa humu daaahh Jf sihami manina ..sipndi umbea but huu wahumu umevuka viwango vyote nahisi huwa inakuwa na muihuri ya TBS..daahh hahaa
 
Wakati Unavua Hukuweka Akiba Ya Maneno Siyo? Wakati Kinazama Hukusema Mngese Siyo? Wakati Unakuja Lukundo Lodge Hukujua Kuna Siku Kama Ya Leo Utatajwa? Any Way Fanya Kazi Zako but Kumbuka Kuweka Akiba Ya Maneno Jemi.
hahaaaa jaahh..hahaaa
 
ha ha ha ha poleeee kabisa chupi yangu nikuvulie wewe na unaonekana ulivyo pashu kama mngese wa kihindi naanzaje kukuvulia chupi .

Mamaaa weeee ha ha ha I'm sory nipo bize kwa vitu vyra msingi so kaa mbali na Mimi manina zako.
hahaaaa
 
hahaaaa watu wa humu daaahh Jf sihami manina ..sipndi umbea but huu wahumu umevuka viwango vyote nahisi huwa inakuwa na muihuri ya TBS..daahh hahaa
Hahaa acha umbea
 
Back
Top Bottom