Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee putinnnn ngoshaaaa[emoji57] [emoji57] [emoji57] wee hapo naye unaona umeongea ??? ..
Acha unafiki .
Mi nishakudharauu![]()
Movie Yangu Inaendelea. Mtuhumiwa Kaonekana. Ngoja Aanze Kuwadharau[emoji28]
Hapana Mimi huwa sidharauliki na mtu asonisumbua kwakitu chochote kile, sasa huna cha kunibabaishia ,nitaanzia wapi kujihis kudharaulika ???[emoji23] [emoji23]Daahh! Wameanza Kukudharau Sasa
Lijamaa ganiMbona kuna yule jamaa kaweka likatuni libaya halafu madem mnavyomshobokea sasa kutokana na story zake za uongo tuu[emoji51]
Aahhh sawa !!...VP mishe?.Nani ??
Trump anakuchukia sijaona ulimpochana sijadhirika haki tenaHapana Mimi huwa sidharauliki na mtu asonisumbua kwakitu chochote kile, sasa huna cha kunibabaishia ,nitaanzia wapi kujihis kudharaulika ???[emoji23] [emoji23]
Nitumie ticket ya fastjet nikweee Pipa mpaka Ulipo unipe huo upend wakoMm nakupenda sema upo dodoma.
Nmelisahau jinaLijamaa gani
Wivu tu unaokusumbua kwani usipowapenda wewe unahisi umepunguza nini kwao.Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
Aaahhh mwache anichukie tu .. Eti kuna kitu kinanipungua ??? .Trump anakuchukia sijaona ulimpochana sijadhirika haki tena
Fanya roho yangu ifurahi
Eehhh sure !.Heee putinnnn ngoshaaaa
Daaahhh Mima ,, sikuitaji usome huu uzi Mama yangu !!Wivu tu unaokusumbua kwani usipowapenda wewe unahisi umepunguza nini kwao.
Humpendi Vladimirovich Putin na sidhani kama hata yeye anahitaji kupendwa na wewe acha kujivika vyeoo....
Aahhh ivi kumbe unanichukia ,,hiii koment sikua nmeiona mkuu !!.Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
Mim ndio maana siku hizi nawadharau tu yaan umenifundisha kituAaahhh mwache anichukie tu .. Eti kuna kitu kinanipungua ??? .
Daaahhh sijui nisemeje yaan .
Fastjet ni bas gan mkuu, huku chato halipo.Nitumie ticket ya fastjet nikweee Pipa mpaka Ulipo unipe huo upend wako
Watu walivyo na wivu sasa watasema nyie ni id moja,,humu tuna wivu sanaDaaahhh Mima ,, sikuitaji usome huu uzi Mama yangu !!
*Watu waloshindwa*
Ye roho kwatu mi ananivuruga tuBora ufanye hivyo ila amekuzimia sana hivyo anaona angalau tu akusalimie kutwa mara tatu na ukijibu roho yake kwatu! hahahahahahah lol!