Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Mimi sio mnafiki ,, nasiupendi unafiki.

Kila mtu anayenijua Mimi NA Mima ,,akisoma moment zako wewe +demi+shunie+Dina zote zinazungumzia Mimi ,, though mmeogopa kutaja majina ,ila huo ndo ukweli.

Sitaki nasitafuti sifa mpaka useme nataka kuwaaminisha watu kua mnaona wivu ,, Hayo niyako nasijayaema Mimi ...ila Muungwana akisoma ataelewa.....

Unadhan kwann Mahondwa , Kuna mahali amesema "Putin usije ktk huu uzi " ????

Sasa niivi , Huo u gangster baby wako usikufanye ukajiona bonge lakichwaaaaa sana ....

Jaribu kujiheshimu uheshimike !!!!kila siku nawaambia ,Usitegemee kunilete ujinga ,alafu nikakaa kimya eti kisa weee mwanamke Mimi mwanamme ..noooooooo ,,hao waivo ni Akina Daby!!!.

So make sure unauchunga mdomo wako nakila mtu afanye yanayomuhusu ,Mbona ni Rahisi sana kupiga kimya ?????. Unashindwa nn ??? .
Putin kuna muda tunakumiss unakaa kimya mno,,we unadhan ukikaa kimya hivyo jf hapachangamkii bana,,hatukuonei wivu bali tunapenda uwepo hapa jomoniiii
Halaf ushatufundisha jisi ya kudharau ndio maana tushaiga tu ,wala usijali mbona,we hupendi kuigwa
 
Vladimirovich Putin yaan narudia kukuambia hivi ! hebu nielewe kwanza !nitakuwa mtu wa ajabu eti nikuonee wivu wewe !siye kuna maneno tumetokea kuyapenda ndo hayo tunayazungumzia kila tukionana !neno nimekudharau,mnajiuza ,ptu,siwaogopi tumejikita tunayapenda kuyaongea popte pale !aisee aliyesoma na mm atanijua nilivyo !jaman mie huwa siogopi mtu kwanza siwez ! yaan wewe hata unipige za uso vipi mie huwa sisumbuki !so nisicomment kisa wewe na kapeace ?? kwasabb zipi kwanza !hahaha aisee !hebu fanya yako nitacheka nitakapopenda na kucomtn niwezavyo !
i wish unifaham na mie background zangu !
hebu kuwa na aman na kapeac wako !
yaan namie nina kaukichaa Sema siwez kushindana na wanafunzi wa vyuo vilivyokosaga USAJILI yaan usituone wepesi kihivyoo !acha mikwara mbuzi hyo wewe !
SITAKUJIBU TENA !kwasababu mwenzako nipo mbali sana na ww kivyovyote vile(yaan wewe hata unifukuzieje hunikuti ng'o) !
bye
 
Hayo maneno itakuwa hayapendi tuyatumie,,na sie yashatukaa sasa sijui tufanyeje ili tuache Daby njoo utusuluhishe huku,hatumuonei wivu bana mi ila tunapenda alivyo HP wa jf
Ila putin ana mkwaraa rafiki yetu huyuu
Halaf wewe vyuo hivyo si vilifutwa ama sasa alifanyaje jamani
 
ahahahah wewe Dinazarde mwenzako humu nina watu ninawaheshimu najua unanichokoa nitapike !kwahilo hunipati !huyo Daby mie hata sijamzoeaga !kwaheri bwana nimejiiba hapa mvua inapiga hatar !see ya'
 
Vladimirovich Putin yaan narudia kukuambia hivi ! hebu nielewe kwanza !nitakuwa mtu wa ajabu eti nikuonee wivu wewe !siye kuna maneno tumetokea kuyapenda ndo hayo tunayazungumzia kila tukionana !neno nimekudharau,mnajiuza ,ptu,siwaogopi tumejikita tunayapenda kuyaongea popte pale !aisee aliyesoma na mm atanijua nilivyo !jaman mie huwa siogopi mtu kwanza siwez ! yaan wewe hata unipige za uso vipi mie huwa sisumbuki !so nisicomment kisa wewe na kapeace ?? kwasabb zipi kwanza !hahaha aisee !hebu fanya yako nitacheka nitakapopenda na kucomtn niwezavyo !
i wish unifaham na mie background zangu !
hebu kuwa na aman na kapeac wako !
yaan namie nina kaukichaa Sema siwez kushindana na wanafunzi wa vyuo vilivyokosaga USAJILI yaan usituone wepesi kihivyoo !acha mikwara mbuzi hyo wewe !
SITAKUJIBU TENA !kwasababu mwenzako nipo mbali sana na ww kivyovyote vile(yaan wewe hata unifukuzieje hunikuti ng'o) !
bye
Nachoweza kukuhakikishia nihiki... Katika suala LA maisha hata usisumbuke sanaa kujipigia debeeeeeeeee maana hamna ulichonizidi ,unachonizidi na utakachokuja kunizidi hamnaaa !!. Weee maisha siumeyakutia ukubwan ?. Mimi maisha nmeyapata ningali kindergarten mpaka university ,garama nilizokwisha kutumia nipesa ambayo hujawahi kuishika wala kusoma ktk account yako UNLESS USUBIRI PESA YA PENSHENI [emoji23] [emoji23] [emoji23] kinyume nahapo wewe hamna kitu ,Ulichobaki nacho nikujisifia tuuu lkn in Reality hamna kitu !!!.
 
Putin kuna muda tunakumiss unakaa kimya mno,,we unadhan ukikaa kimya hivyo jf hapachangamkii bana,,hatukuonei wivu bali tunapenda uwepo hapa jomoniiii
Halaf ushatufundisha jisi ya kudharau ndio maana tushaiga tu ,wala usijali mbona,we hupendi kuigwa
Aahhh kumbe basi sawa ngosha .
 
Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.

Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.

Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.

7a697dd6db9c25517ae2466ce847b306.jpg

Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
Mpuuzii wee
 
Nachoweza kukuhakikishia nihiki... Katika suala LA maisha hata usisumbuke sanaa kujipigia debeeeeeeeee maana hamna ulichonizidi ,unachonizidi na utakachokuja kunizidi hamnaaa !!. Weee maisha siumeyakutia ukubwan ?. Mimi maisha nmeyapata ningali kindergarten mpaka university ,garama nilizokwisha kutumia nipesa ambayo hujawahi kuishika wala kusoma ktk account yako UNLESS USUBIRI PESA YA PENSHENI [emoji23] [emoji23] [emoji23] kinyume nahapo wewe hamna kitu ,Ulichobaki nacho nikujisifia tuuu lkn in Reality hamna kitu !!!.

ahahah sasa wewe ni mwanaume na mie ni mwanamke tayar kuna utofauti hapo ! ukianza kujisifia aise sijui kuhus familia hatutalala !nahsi unapenda kujisifia huko mie nilishaondoka kwetu/wewe bado upo kwenu(tayar ni tofauti)
basi ngoja nikuache mzee baba ! hahahah nacheka sana aisee kwamba maisha nimeyapatia kwa MUME HEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Vladimirovich Putin yaan narudia kukuambia hivi ! hebu nielewe kwanza !nitakuwa mtu wa ajabu eti nikuonee wivu wewe !siye kuna maneno tumetokea kuyapenda ndo hayo tunayazungumzia kila tukionana !neno nimekudharau,mnajiuza ,ptu,siwaogopi tumejikita tunayapenda kuyaongea popte pale !aisee aliyesoma na mm atanijua nilivyo !jaman mie huwa siogopi mtu kwanza siwez ! yaan wewe hata unipige za uso vipi mie huwa sisumbuki !so nisicomment kisa wewe na kapeace ?? kwasabb zipi kwanza !hahaha aisee !hebu fanya yako nitacheka nitakapopenda na kucomtn niwezavyo !
i wish unifaham na mie background zangu !
hebu kuwa na aman na kapeac wako !
yaan namie nina kaukichaa Sema siwez kushindana na wanafunzi wa vyuo vilivyokosaga USAJILI yaan usituone wepesi kihivyoo !acha mikwara mbuzi hyo wewe !
SITAKUJIBU TENA !kwasababu mwenzako nipo mbali sana na ww kivyovyote vile(yaan wewe hata unifukuzieje hunikuti ng'o) !
bye
Kapeace, mima na Vlad ni watu watatu tofauti

Mima na Vlad ni couple halisi

Kapeace na Vlad ni couple km ilivyo wewe na Beira

Kapeace na mima ni wake wenza wa utani huku lkn katika uhalisia niseme ni partner wa rafiki yangu

Vlad namfahamu na imekuwa km bahati tumekutana humj

Acheni kuchanganya mafaili km mtu humuelewi na humtaki ni vyema kumuignore au kuwadharau msemo wa vlad
 
ahahah sasa wewe ni mwanaume na mie ni mwanamke tayar kuna utofauti hapo ! ukianza kujisifia aise sijui kuhus familia hatutalala !nahsi unapenda kujisifia huko mie nilishaondoka kwetu/wewe bado upo kwenu(tayar ni tofauti)
basi ngoja nikuache mzee baba ! hahahah nacheka sana aisee kwamba maisha nimeyapatia kwa MUME HEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Ooohhhh angaika ,, niwe kwetu ?? Umri huuu ???.

Hapana ,,, nalikua nataka nikupe picha ndogo,, ili ujue Kua wewe ni mtu wakujivika Ukuuu lkn hamna kitu !!.... Ila kikubwa uelewe ivo , Kimaisha badoooooo bado unakazi kubwaaaa yakufanya ili uwe "Independent".

Eti wee nimwanamme....Mimi ni " Mwanamke" ..mawazo yako bana yanaonyesha kabisa umtu waaina gani.
 
HAYa baba !semister hii imeanza tena bye !
 
Kapeace, mima na Vlad ni watu watatu tofauti

Mima na Vlad ni couple halisi

Kapeace na Vlad ni couple km ilivyo wewe na Beira

Kapeace na mima ni wake wenza wa utani huku lkn katika uhalisia niseme ni partner wa rafiki yangu

Vlad namfahamu na imekuwa km bahati tumekutana humj

Acheni kuchanganya mafaili km mtu humuelewi na humtaki ni vyema kumuignore au kuwadharau msemo wa vlad

my ribs
 
wewe ndo unajivika' ukuu'tena ukuu wa familia yako ! mie siwez ringia mali za wazaz wangu hata siku 1 kwanza nitakuwa limbukeni ! hahaha ngoja nsiihie hapa !nisijeonekana nakutaka au nakutongoza bure!@vladimirovich putin
 
HAYa baba !semister hii imeanza tena bye !
Alafu mbn upo interested sana na shule yangu ??? Nilishakuambia usipende kuzungumzia mambo ya elimu yangu humu majukwaan ,, hivi nikikuzungumzia kindaki ndaki hapa majukwaan ,utajisikia poa ???.

Tuliza mdomo wako basi ,,mbn najitahidi kukaa kimya lkn unanichokonoa ??? Haaaaa ?? Tulia basi ,Naukome kabisa kuzungumzia masuala ya elimu yangu humu ,upo !!!. Namm nitaanza kukuzungumzia ili tuende sawa .

Bahati nzuri hauna nisichokijua kwan 0713........633 ....hiii namba bado unaitumia ???.
 
Back
Top Bottom