Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

hivi kwan kuongelea elimu yako ni dhambi gan !nakushangaaga ujue !alfu masuala ya kuntisha na namba unajua unanichekesha sn mie ! ohh kuna fala mmoja alikuja pm ohh mbiti inasemekana wewe jf kuna watu wana namba yako nusu nzima !hahaha huu ujinga !hebu pekenyua nyuzi zangu bas ndo uje uropokwe hapa !mxiew

my first thread niliweka namba zangu kwa biashara ya matunda ya strawberry hapa ! huenda ulikua bado sekondari lol !kila siku kunitisha na hyo namba !hv wew mzima kweli?? karibu kila siku napigiwa simu na watu wa jf wanahitaj strawberry sijawah wauliza umepata wapi namba coz nilizitoa mwenyewe hahaha nataman nikutukane kama mange !ila nakuacha !hahahahahaha
sitakujibu tena !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ndo Ukome kabisaa ,sipendi na ninachukia ...kwan km napenda siningekua nmeshasema ,, humu ndani kila mtu anaelimu yake ,na hamna mahali mtu ameshaweka shobo shobo ajulikane ....Sasa jiongelee weweee MIMI SIPENDI NA UKOME.
 
Back
Top Bottom