Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nimekumiss pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILa wanajulikana mkuu wenye fake id,kusingiziana multiple id's... jitu linakuja linakurupuka tu huu mwandiko naujua ni wa id fulani shen.zi type
na hicho ndio kinachokera mtu anakuja anakusingizia id ya mtu wa hovyo kabisa tena anaaminisha watu kuwa ni ww akati mwenye hiyo id anajulikana
Kama mimi eti ni raymodel[emoji16][emoji16]na hicho ndio kinachokera mtu anakuja anakusingizia id ya mtu wa hovyo kabisa tena anaaminisha watu kuwa ni ww akati mwenye hiyo id anajulikana
nilikuonea huruma sana ile siku 😂😂😂Kama mimi eti ni raymodel[emoji16][emoji16]
mara nyingi tuHahahahah yalikukuta nn mkuu?
Watu wa humu wakiwa wanakutafuta maneno wanalazimishaa [emoji23][emoji23]nilikuonea huruma sana ile siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesema nisichokipenda au ilibid Nitaje na sababu mkuuUmekufanya nn boss