Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi unakuta wengine bado hawajaolewa, hawajui kama wamefunga mlango wa barka[emoji4]Hili limenigusa
Sipendi kuwona mpaka sasa watu bado hamja lala mnasubili nn
Aha kumbe nyie jeuli dawa yenu ipo jikoniKwani wewe Baba etu?[emoji849]
Bado umelala?Jamani nahisi huyu jamaa ananilazisha nilale mtanipa mlejesho kesho mi na lala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
Putin anayekaa kwa KAKA AKE?[emoji28][emoji28][emoji28]Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
Dawa gani hiyo?Sipendi tabia ya kutusema wanawake vibaya humu,sasa hiv tumewaundia dawa mujarabu kabisa
Naruhusiwa kukutongoza?Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.