Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Basi shemeji tunajua unampenda sana dota ila kumtimua sababu hajatimiza ahadi hapo ndio hatukwenda sawa nadhani sasa tumeliweka sawa.
Haujanielewa, nawatimua wakwe hewa. Binti yangu nimtimue aende wapi, kwanza naanzaje!!!
 
Haujanielewa, nawatimua wakwe hewa. Binti yangu nimtimue aende wapi, kwanza naanzaje!!!
Wakwe wa mwendokasi hao hapo nimekupata vizuri shemeji lakini unaweza kukuta bint yetu ndio unawakingia kifua sio bure tafakari hilo. Ila nimecheka sana kwa ukauzu huo.
 
Mke wangu ananielewa
anajua nipo hapa,
hata mbali anajua nilipo
anajua mimi ni nani kwake,

simuandikii uzi,
ninajua ni kipi cha thamani
kwake yeye ni mke
'Mke wako'
Aiseeeee!! Hilo lilitokea lini? Heaven Sent kumbe no more!!! Maana hawezi kukuita jina zito hivyo kama hajakuwowa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Yaani huyu mtoto jamaniii!!! Ndio nini hiki!!!
 
Shikamoo Mama.

Naomba nikusalimie kwanza
ni muda kidogo sasa
 
Back
Top Bottom