Mmmmh!!! Mkwe na mipasho tena!!!Mama jiongeze mpaka ujipitilizeee, huko hata huheshimiwi, umeachwa unapiga miayo tuuuuuuu...! Jiongeze mama, mambo yako hukuuu
Haha yani kanichekeshajeMmmmh!!! Mkwe na mipasho tena!!!
Heaven Sent dota unajua kuniweza kweli!!!!
Haha huyo mkwe kiboko yakoMmmmh!!! Mkwe na mipasho tena!!!
Heaven Sent dota unajua kuniweza kweli!!!!
Eeeh kweli mambo yapo huko[emoji38]Mama jiongeze mpaka ujipitilizeee, huko hata huheshimiwi, umeachwa unapiga miayo tuuuuuuu...! Jiongeze mama, mambo yako hukuuu
Kwakweli huyu kiboko yangu.Haha huyo mkwe kiboko yako
Anasema uache kupigaKwakweli huyu kiboko yangu.
Ila we nawe umezidi uongo, khaaaah!!!Anasema uache kupiga
mihayo kudanganywa
na Benny
Mmh utadhani ni mwanasiasaIla we nawe umezidi uongo, khaaaah!!!
Yaani hadi naanza kumtilia mashaka makubwa.Mmh utadhani ni mwanasiasa