Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

ha ha ha
 
To be loved.., what a feeling[emoji85] [emoji85] .....Nashukuru sana my dear
 
Dah! You're in love. Kuna siku tena wala siku si nyingi labda wiki tatu au mwezi. Kuna jamaa alikuwa analalamika kupata mwenzi wa kufunga naye ndoa, kama sikosei ni Mwalimu yule. Katika uzi wake Heaven Sent alichangia vizuri sana kumpa ushauri jamaa miye nikaona kitu nikadhani muanzisha uzi naye atakiona. Nilitamani nimwambie kitu yule jamaa hata kupitia pm lakini nikaamua kuuchuna na kutosema chochote. Kama hii ni kweli mie nawaombea kila la heri na baraka ili msiishie njiani. Naomba nisiulizwe Heaven Sent aliandika nini ila kwa kifupi alitoa ushauri tu wa kumsaidia jamaa. Ilibidi niiangalie avatar mara mbili mbili maana hii ni ya heaven sent. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

 
Hehe kwa hiyo ndo ushatuunganisha? Mtaniulia mtu kwa presha mwee

BAK Umeanza lini huo upambe jamani? Nakusemea kwa kui. Sasa ungem-pm nini yule mpendwa? Lol
 
bro tag me there please my binamu hakoseagi huyuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…