Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Mtu kaona mwandiko tu amefall, hapo ndiyo tunaambizana eti tujaze info zetu complete, si kuna siku utaamka utakuta mtu yupo mlangoni anakulilia, akija kua obsessed na wewe ndiyo utajua kua kila mtu anatamani kubaka ila anaogopa kitakachofuata baada ya kukamatwa.
ha ha ha
 
To you Dearest Heaven Sent,

Seems like I have fallen in love with you…you are just the best! Now all I want to say is that I can't live without you and don't even want to. You are the best thing that has ever happened to me and i think you'll make my life complete. I adore you from my heart and soul and want to let you know that you are my little angel who i love the most. Only mwandiko wako was enough to fill my heart with this enormous LOVE. You make me so happy anytime i read ur post/comment..., that all I need now is you to make my life complete.

Your's the one and only Korboto.

cc atoto fanya mazoezi ya kubeba kapu la mama.
To be loved.., what a feeling[emoji85] [emoji85] .....Nashukuru sana my dear
 
Dah! You're in love. Kuna siku tena wala siku si nyingi labda wiki tatu au mwezi. Kuna jamaa alikuwa analalamika kupata mwenzi wa kufunga naye ndoa, kama sikosei ni Mwalimu yule. Katika uzi wake Heaven Sent alichangia vizuri sana kumpa ushauri jamaa miye nikaona kitu nikadhani muanzisha uzi naye atakiona. Nilitamani nimwambie kitu yule jamaa hata kupitia pm lakini nikaamua kuuchuna na kutosema chochote. Kama hii ni kweli mie nawaombea kila la heri na baraka ili msiishie njiani. Naomba nisiulizwe Heaven Sent aliandika nini ila kwa kifupi alitoa ushauri tu wa kumsaidia jamaa. Ilibidi niiangalie avatar mara mbili mbili maana hii ni ya heaven sent. 🙂🙂🙂

Hehe kwa hiyo ndo ushatuunganisha? Mtaniulia mtu kwa presha mwee

BAK Umeanza lini huo upambe jamani? Nakusemea kwa kui. Sasa ungem-pm nini yule mpendwa? Lol
 
Dah! You're in love. Kuna siku tena wala siku si nyingi labda wiki tatu au mwezi. Kuna jamaa alikuwa analalamika kupata mwenzi wa kufunga naye ndoa, kama sikosei ni Mwalimu yule. Katika uzi wake Heaven Sent alichangia vizuri sana kumpa ushauri jamaa miye nikaona kitu nikadhani muanzisha uzi naye atakiona. Nilitamani nimwambie kitu yule jamaa hata kupitia pm lakini nikaamua kuuchuna na kutosema chochote. Kama hii ni kweli mie nawaombea kila la heri na baraka ili msiishie njiani. Naomba nisiulizwe Heaven Sent aliandika nini ila kwa kifupi alitoa ushauri tu wa kumsaidia jamaa. Ilibidi niiangalie avatar mara mbili mbili maana hii ni ya heaven sent. 🙂🙂🙂
bro tag me there please my binamu hakoseagi huyuu!
 
Back
Top Bottom