Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Hapana banaa mie hiyo shughuli huwa sifanyi ila nilishawawishika kuifanya lakini nikaamua kukaa kimya.

BAK tena!, ana upambe wa nguvu huyo, huyo jamaa angejikuta kafarijika na haangaiki tena kutafuta. 🙂
 
To be loved.., what a feeling[emoji85] [emoji85] .....Nashukuru sana my dear
Ukimwambia mtu "Nakupenda" akijibu "Nashukuru" beba virago angalia ustaarabu mwingine au badili mbinu (mostly ni kupunguza kutumia maneno mengi).
 
Amen
Thank you Lord for this blessed assurance and for everything and
for families., relatives and friends and Lord Thank you for enemies, work in our hearts to be friends through the Love of Christ in Jesus
Name Amen.
Heaven Sent hivi huwezi kuona kama hiki kitu ni cha tofauti?, mpaka majambazi wanatuombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…