Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Sasa kwa sisi tuliowavivu wa mazoezi tunasaidiwaje?
Mmmmh awamu hii sidhani kama kuna asiye fanya mazoezi mkuu. Kama sio physically basi physcologically unapiga tizi mkuu. Matokeo ni kupwaya kwa nguo zako.
 
Haijakuisha bado unaona double double nikuletee togwa uzimue Kui? 🙂🙂🙂

Mbona naona double ya Heavent Sents wawili? au hangover haijaniisha!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Bachelorette tena lol! Kuna njemba mmoja hakuwahi hata kukiss na mrembo. Alipoulizwa wewe unakuja hapa kutafuta mrembo ambaye labda anaweza kuja kuwa mkeo mbona hata kukiss hukuwahi kukiss naye? akajibu mie nilikuwa sijui kama tunatakiwa kukiss lol! huh!

Kuna yule aliyeshiriki bachelorette moja akafika mpaka mwisho wakabaki njemba wawili na watu wengi walidhani mrembo angemchagua yeye lakini hakuchaguliwa. Na yule mwenzie alikuwa anamchukia sana kuna wakati karibu wachapane makonde kisa mrembo. Jamaa ambaye hakuchaguliwa akaweka hadharani kwamba alikula mzigo. Yule aliyechaguliwa hili lilimtesa sana moyoni na hatimaye likawa chanzo cha kutengana. Juzi kwenye paradise kapata mrembo wake mama mwenye mabinti wawili wadogo.

HS kwa mpango huu itabidi ufanye mpango wa kufanya show ya Bachelorette, naona namba na idadi ya wanaotakiwa itakuwa imefikia.

Cc BAK
 
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Kumbe kuna fursa eeh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Bachelorette tena lol! Kuna njemba mmoja hakuwahi hata kukiss na mrembo. Alipoulizwa wewe unakuja hapa kutafuta mrembo ambaye labda anaweza kuja kuwa mkeo mbona hata kukiss hukuwahi kukiss naye? akajibu mie nilikuwa sijui kama tunatakiwa kukiss lol! huh!

Kuna yule aliyeshiriki bachelorette moja akafika mpaka mwisho wakabaki njemba wawili na watu wengi walidhani mrembo angemchagua yeye lakini hakuchaguliwa. Na yule mwenzie alikuwa anamchukia sana kuna wakati karibu wachapane makonde kisa mrembo. Jamaa ambaye hakuchaguliwa akaweka hadharani kwamba alikula mzigo. Yule aliyechaguliwa hili lilimtesa sana moyoni na hatimaye likawa chanzo cha kutengana. Juzi kwenye paradise kapata mrembo wake mama mwenye mabinti wawili wadogo.

Hahahah!, asee mbona vituko, sijaiangalia kitambo sasa. Huyo wa kutokujua kuhusu kiss kaniacha hoi, aliingia kwenye show bila kujua inaendaje.
Itabidi tumuwekee HS wetu ma bouncer wa nguvu, kwa mpango huu Bachelorette bongo watu watapigana kwenye show asee! 😀
 
We acha tu kila walipokuwa wakimuonyesha walikuwa wananiudhi sana maana saa zote yeye yuko busu kuelezea kuhusu mapishi lol! nadhani alikuwa Chef mahali. Yaani mpaka nikawa naongea na screen mrembo anasuburi umkiss msogelee basi japo umkiss hata mara moja, yeye yuko busy tu blah blah blah blah lol! Alipojibu hivyo kwamba hakujua kama walitakiwa wakiss watu walicheka sana maana ilikuwa kwenye kadamnasi.

Hahahah!, asee mbona vituko, sijaiangalia kitambo sasa. Huyo wa kutokujua kuhusu kiss kaniacha hoi, aliingia kwenye show bila kujua inaendaje.
Itabidi tumuwekee HS wetu ma bouncer wa nguvu, kwa mpango huu Bachelorette bongo watu watapigana kwenye show asee! 😀
 
Bachelorette Bongo ngumi zitaruka na kipindi kufutwa lol! Hata hii nina wasiwasi kuna siku mtu atakimbizwa hospital baada ya kutolewa ngeu.

Back
Top Bottom