Andiko kwa Heaven Sent kuhusu mwandiko wake

Basi ngoja tusubirie majibu hapa, make huyu jamaa namwona kama anamaanisha.

Halafu thread kama imesizi ukute wako PM kwa sasa.

cc Heaven Sent.
He he he he huo ukuda umeanza lini? Niache little angel wa mtu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nikajua mshayajenga pm, nasubiri tu kagari kamoja. Au ndi zile zileee za ahadi hewa.
Haha hadi sasa hivi nishapata hela ya birthday, Christmas na mwaka mpya teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…