Andiko la kwanza la Ahmed Ally baada ya Simba kufugwa, hata Madrid amefungwa EL CLASSICO 4 mfululizo

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,527
Reaction score
14,881
ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!!
.
Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC

Wana Simba tuepuke presha za wanaotuaminisha tumefeli kupita kiasi

Ni kweli hatujapata ubingwa lakini sote ni mashahidi kuwa timu yetu imepiga hatua kubwa sana kulinganisha na miaka ya nyuma na hilo ndio lilikua lengo letu kutengeneza timu ya ushindani.

Msimu huu tumefanikiwa kucheza Fainali ya CAF ambayo tumeshindwa kufanya hivyo kwa miaka 31

Msimu huu ubingwa wa ligi umeamuliwa na Dkk 45 za Kipindi cha pili cha mechi ya mwisho, wakati msimu uliopita tulipigania nafasi ya tatu

Points tulizofikisha msimu huu hatujawahi kufikisha kwa miaka minne iliyopita

Tulipotoka na tulipo ni tofauti sana, mwangaza wa mafanikio hauko mbali yetu

Si mara ya kwanza Simba kukaa miaka minne bila Ubingwa , tushakaa miaka mitano kutoka 2012 hadi 2017 lakini tulijipanga 2018 tukachukua kwa miaka Minne mfululizo.

Kupoteza mara 5 mfululizo dhidi ya Mtani kusitufanye tukajidharau

Madrid amepoteza El Classico nne dhidi Barcelona tena kwa vipigo vya vikali lakini katu huwezi kuwaona Madrid wanajitukana

Sio mfano wa kujivunia lakini lazima tukubali nyakati hizi hutokea kwenye mpira

Pamoja na ukubwa wote Manchester United wanaenda mwaka wa 13 bila Ubingwa, Sitaki kutoa mfano wa Arsenal

Mifano hii itupe taswira kuwa hatuko peke yetu kwenye mapito ya namna hii na hata hawa wanaocheka sasa yapo magumu waliyopitia

Ombi langu wangu Wana Simba, tuwape nafasi viongozi wetu wafanye tathmini na baada ya hapo watupe muongozo tunaendaje mbele kuipambania Simba yetu.

Heshima yetu itarudi kwa kushikamana na kusimama pamoja.
 
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally ameandika: "Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC

Wana Simba tuepuke presha za wanaotuaminisha tumefeli kupita kiasi

Ni kweli hatujapata ubingwa lakini sote ni mashahidi kuwa timu yetu imepiga hatua kubwa sana kulinganisha na miaka ya nyuma na hilo ndio lilikua lengo letu kutengeneza timu ya ushindani.

Msimu huu tumefanikiwa kucheza Fainali ya CAF ambayo tumeshindwa kufanya hivyo kwa miaka 31

Msimu huu ubingwa wa ligi umeamuliwa na Dkk 45 za Kipindi cha pili cha mechi ya mwisho, wakati msimu uliopita tulipigania nafasi ya tatu

Points tulizofikisha msimu huu hatujawahi kufikisha kwa miaka minne iliyopita

Tulipotoka na tulipo ni tofauti sana, mwangaza wa mafanikio hauko mbali yetu

Si mara ya kwanza Simba kukaa miaka minne bila Ubingwa, tushakaa miaka mitano kutoka 2012 hadi 2017 lakini tulijipanga 2018 tukachukua kwa miaka Minne mfululizo.

Kupoteza mara 5 mfululizo dhidi ya Mtani kusitufanye tukajidharau

Madrid amepoteza El Classico nne dhidi Barcelona tena kwa vipigo vya vikali lakini katu huwezi kuwaona wanajitukana

Sio mfano wa kujivunia lakini lazima tukubali nyakati hizi hutokea kwenye mpira

Pamoja na ukubwa wote Manchester United wanaenda mwaka wa 13 bila Ubingwa, Sitaki kutoa mfano wa Arsenal

Mifano hii itupe taswira kuwa hatuko peke yetu kwenye mapito ya namna hii na hata hawa wanaocheka sasa yapo magumu walivonitia.
 
Haya yalipaswa kusemwa na Kiongozi mkuu wa klabu. Hivi pale Simba mkuu ni nani kati ya Mangungu na Dewji?
 
Mimi binafsi sijaona tatizo la Simba, Simba amecheza Kwa mafanikio makubwa sana hasa msimu huu.
Ninachojua Mimi ni kwamba simba hajashuka kiwango ila yanga ndio wameongeza level
 
Haya yalipaswa kusemwa na Kiongozi mkuu wa klabu. Hivi pale Simba mkuu ni nani kati ya Mangungu na Dewji?
Mangungu kazi yake ni kufungua vikao na kuvifunga na ni mjumbe bodi ya Simba SC management team huteuliwa na Dewiji

Changamoto aliyo nayo Mangungu kumbe aliahidi makombe hasa kumfunga mtani
 
Huyo jamaa anyamaze kimya kabisa kwa sasa mimi namfananisha na mtu aliyekuwa anaitwa Saeed Al Sahhaf wakati wa vita ya Marekani na Iraq miaka hiyo wakongwe wanamkumbuka huyu mwamba. Huyu jamaa huwa anaharibu sana saikolojia ya wachezaji bila kujua. Huyo huwa anachangia sana kuwafanya wachezaji wa Simba wajione kama wana uwezo mkubwa kwa kuwazidishia sifa kupita kiasi. Matokeo yake wachezaji wanabweteka badala ya kufanyia kazi mapungufu waliyonayo. Na wakati mwingine anawafanya wachezaji wajione wameshamaliza ligi na kubeba ubingwa wakati ligi ni "marathon".

Hebu fikiria Mukwala kwenye mechi moja anapata nafasi 5 lakini akifunga 1 kati ya hizo 5 daa utasikia straika refu kuliko goli limeweka waa bila kujali nafasi alizokosa huyo Mukwala kwenye mechi husika. Ateba anapata nafasi 10 akifunga 2 basi atahutubia TV zote za mitandaoni kuhusu ubora wa Ateba bila kusahau kuwa jamaa kakosa magoli 8 ya wazi. Matokeo yake kwenye mechi kubwa zenye ushindani nafasi zinazopatikan ni chache sana 1 au 2 katika dakika zote 90 na kwa kuwa wameshazoea kukosa wanajua zitapatikana nyingine wakija shtuka mpira umeisha Simba kalala.

Huyo jamaa hajui kabisa madhara ya matamshi yake kwenye kuinua morali ya wachezaji au kuishusha. Mfano mdogo tu, Simba kaenda Tabora kamfunga Tabora United lakini kwa kuwa tu Tabora alimfunga Yanga basi maneno yakamtoka ya kuwaponda Yanga na kuisifia Simba kama vile imetoka sayari nyingine na hakuna timu ya kuizuia Simba. Badala akae kimya aache wachezaji waendelee na umakini na tahadhari ile ile waliyoenda nayo Tabora wamfuate nayo Fountain Gate yeye kwa maneno na majisifu yake akawafanya wachezaji wawaone Fountain Gate vibonde. Matokeo yake wakaambulia sare na ndio safari rasmi ya Simba ya kuukosa ubingwa ilianzia hapo.

Kwa sasa ingekuwa vizuri kwake akae chini kimya ajitathimini yeye mwenyewe anakosea wapi ajirekebishe ili msimu mpya unapoanza aitendee haki hiyo nafasi. Ajue tu kuwa msemaji wa timu sio lazima uwe mswahili mswahili au "comedian" ndio uonekane umefanya kazi viizuri. Na hii habari ya kila msemaji wa timu kutaka kufanya kazi kama Manara ndio inawafanya washindwe kutimiza majukumu yao vizuri kwani Manara ni mmoja tu na atabaki kuwa Manara na staili yake pekee ya usemaji licha ya kuwa nje ya usemaji wa mpira. Asione aibu ajifunze kwa watu waliopita hapo na kuitendea haki hiyo nafasi kwa kufanya kazi kwa weledi watu kama Ndimbo, Kimwaga, n.k. Vinginevyo akishupaza shingo atajikuta anaendela kuharibu saikolojia ya wachezaji bila kujijua mpaka siku anaondoka Simba atajikuta hakuwahi kuinua kwapa kubeba kombe lolote.

Ni mtizamo tu.
 
Mangungu kazi yake ni kufungua vikao na kuvifunga na ni mjumbe bodi ya Simba SC management team huteuliwa na Dewiji

Changamoto aliyo nayo Mangungu kumbe aliahidi makombe hasa kumfunga mtani
Alimleta ibenge na yule mkongo man sijui nani vile
 
ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!!
.
Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC

Wana Simba tuepuke presha za wanaotuaminisha tumefeli kupita kiasi

Ni kweli hatujapata ubingwa lakini sote ni mashahidi kuwa timu yetu imepiga hatua kubwa sana kulinganisha na miaka ya nyuma na hilo ndio lilikua lengo letu kutengeneza timu ya ushindani.

Msimu huu tumefanikiwa kucheza Fainali ya CAF ambayo tumeshindwa kufanya hivyo kwa miaka 31

Msimu huu ubingwa wa ligi umeamuliwa na Dkk 45 za Kipindi cha pili cha mechi ya mwisho, wakati msimu uliopita tulipigania nafasi ya tatu

Points tulizofikisha msimu huu hatujawahi kufikisha kwa miaka minne iliyopita

Tulipotoka na tulipo ni tofauti sana, mwangaza wa mafanikio hauko mbali yetu

Si mara ya kwanza Simba kukaa miaka minne bila Ubingwa , tushakaa miaka mitano kutoka 2012 hadi 2017 lakini tulijipanga 2018 tukachukua kwa miaka Minne mfululizo.

Kupoteza mara 5 mfululizo dhidi ya Mtani kusitufanye tukajidharau

Madrid amepoteza El Classico nne dhidi Barcelona tena kwa vipigo vya vikali lakini katu huwezi kuwaona Madrid wanajitukana

Sio mfano wa kujivunia lakini lazima tukubali nyakati hizi hutokea kwenye mpira

Pamoja na ukubwa wote Manchester United wanaenda mwaka wa 13 bila Ubingwa, Sitaki kutoa mfano wa Arsenal

Mifano hii itupe taswira kuwa hatuko peke yetu kwenye mapito ya namna hii na hata hawa wanaocheka sasa yapo magumu waliyopitia

Ombi langu wangu Wana Simba, tuwape nafasi viongozi wetu wafanye tathmini na baada ya hapo watupe muongozo tunaendaje mbele kuipambania Simba yetu.

Heshima yetu itarudi kwa kushikamana na kusimama pamoja.
Hivi huyu Ahamed Ally ataacha lini kuwashika Makalio mashabiki wa Simbwa Sc!? Eti anasema Ubingwa umeamuliwa dk 45 za kipindi cha pili!, kha!!,
 
Na kama si kina kayoko na Mguto nafasi ya 5 au 6 ilikua unakuhusuni freshi tu.
 
Back
Top Bottom