MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Watu wote maokomenti hapa hamjaona hiyo style ya huyo GK.Onana ni mpumbavu, kuna namna angekaa na kuongea na kocha wake na sio kumkosoa wazi wazi, makocha wengi wanapokea ushauri wa wachezaji, hilo moja.
Pili, onana ajue mchezaji bora ni yule anaecheza kwa maelezo ya mwalimu, kwakuwa unafundishwa na guardiola ndio unataka kwa mourinho ucheze hivyo hivyo utaigharimu timu. Kuna watu club wanacheza beki national team ni midfielder. Mchezaji cheza kama kocha atakavyo ukienda toffauti unaharibu mipango yake.
In short, kwa style hiii wakikutana na mabishoo Kama wa Brazil, Cameroon wanakula goli 200!!!
Anampa pressure sana Kocha na akiambiwa atuloe golini hataki.