André Onana aondolewa kwenye kikosi cha Cameroon

Watu wote maokomenti hapa hamjaona hiyo style ya huyo GK.

In short, kwa style hiii wakikutana na mabishoo Kama wa Brazil, Cameroon wanakula goli 200!!!

Anampa pressure sana Kocha na akiambiwa atuloe golini hataki.

Mpira wa sasa kipa akikaa golini anafungwa lazima ufinye uwanja muangalie neur alison becka yule Aderson wa Manchester city they are modern new system of football haiwezekani ulaya wamuone kipa mzuri halafu yule mvuta bangi aje aseme system haifai that's nonsense.
 
Hata Kama ni kutokana golini, ndio atoke aende mpaka katikati ya uwanja kupigana chenga na wachezaji.
 
Onana ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakijitoa tatizo la makocha wa Africa ndio hilo na kama angedaka dhidi ya Serbia Cameroon wangeweza kuondoka na ushindi
Hizo ni nadharia tuu, u can never be sure. Kwanza magoli waliofungwa cameroun tatizo sio la kipa. Sasa kama lile goli la tatu sii mfungajinyupo huru kabisa ata bibi yangu anafunga lile goli
 
Ajitoe tu, maana sioni kitu Ringobert Song anafanya...

Cameroun inacheza hovyo kweli...
 
Hizo ni nadharia tuu, u can never be sure. Kwanza magoli waliofungwa cameroun tatizo sio la kipa. Sasa kama lile goli la tatu sii mfungajinyupo huru kabisa ata bibi yangu anafunga lile goli
Nimefatilia huyo kipa toka anachezea Ajax na timu yake ya taifa ni moja ya makipa hodari na anaokoa magoli unayohesaia tayari I goli
 
Sio kweli, ni approach tu ya mwalimu na inategemea namna anavyocontrol mchezo, kuna walimu wanacontrol game thru possession na wengine kupitia control of spaces, Pep & simeone hawafanani, haina maana Ederson ni mzuri kuliko Oblak.

Lengo kubwa la Mwalimu kumwambia Onana abaki kama traditional GK ni kwamba anaelewa wachezaji wengi wa cameroon sio technically secured, so hawana uwezo wa kuretain possession, kwa anachofanya Onana ni risky cuz timu itakuwa inaconcede magoli ya transition every now and then.
 
Watu wote maokomenti hapa hamjaona hiyo style ya huyo GK.

In short, kwa style hiii wakikutana na mabishoo Kama wa Brazil, Cameroon wanakula goli 200!!!

Anampa pressure sana Kocha na akiambiwa atuloe golini hataki.

Katika hii clip Onana anacheza kama mchezaji wa ndani na sio mlinda mlango au labda sijaona vizuri. Maana kukimbia toka nusu ya uwanja kurudi golini wakati anafukuzana na mfungaji toka timu pinzani ni kazi kweli kweli. Kwa maoni yangu hafai kupewa majukumu ya mlinda mlango
 
Kitu kibaya kabisa timu inacheza deep block, bado anataka kuingia uwanjani, mfano amepoteza mpira hapo, mnaanza kupress kwa shape ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…