Andres Iniesta 'The Magician' kuondoka Barcelona mwisho wa Msimu huu. Je, utamkumbuka kwa lipi?

Andres Iniesta 'The Magician' kuondoka Barcelona mwisho wa Msimu huu. Je, utamkumbuka kwa lipi?

mm kwa upande wang sion alichokifanya asepe tu hana mana
 
Nitamkumbuka pale alipopigiwa makofi na mashabiki sugu wa Real Madrid pale Estadio Santiago Bernabeu. Siku Madrid walikula 4 za ukweli. Na pia Nitamkumbuka kuwa ni kiungo ambaye aliamua matokeo pale South Africa World cup 2010.
Andr%C3%A9s_Iniesta_and_Claudio_Marchisio_Euro_2012_final.jpeg
 
Back
Top Bottom