McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Meneja wa Kitengo cha Huduma za Utangazaji wa TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kwamba mara kwa mara wamejaribu ku-engage na baadhi ya mitandao ya kijamii ili kujadili kuhusu maudhui yasiyofaa lakini imekuwa ni ngumu kwani kampuni hizo zina sheria ambazo ni za dunia kwa ujumla na sio kwa Tanzania pekee
"Jitihada za kuwa-engage kama Tiktok tulikuwa wiki mbili zilizopita, tumekaa nao kuhusu haya maudhui yasiyofaa lakini tunaendelea ku-engage haya makampuni"