Andrew Mwambeje: CHADEMA imefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.

Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa, Freeman Mbowe, amechoka kisiasa, hali inayosababisha wanachama na wananchi wengi kukosa matumaini ya mabadiliko ya kweli.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Mbeya, Andrew Mwambeje, mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Nzovwe na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Mbeya Mjini kwa kipindi cha mpito, amesema kuwa wananchi wana imani kubwa na Tundu Lissu kutokana na msimamo wake wa kupigania haki na mabadiliko.

"Chama hiki kimefika hapa si kwa sababu ya Mbowe wala pesa zake, bali ni juhudi za wanachama wote wenye michango ya mia, mia tano, na elfu moja. Wanachama wa kawaida, wenye fedha kidogo au nyingi, ndio waliokijenga chama hiki. Tunaposikia kauli kwamba chama ni cha mtu mmoja, tunasikitika sana," alisema Mwambeje.

Ameongeza kuwa, licha ya mchango wa Mbowe katika miaka ya nyuma, kibali chake cha kisiasa kimepungua, huku akisisitiza kuwa nguvu ya chama hicho inatokana na wanachama wa kawaida na si mtu mmoja pekee.

Mwambeje amewasihi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kutoka Mbeya na maeneo mengine nchini kuhakikisha wanamchagua Tundu Lissu ili kukirudishia chama hicho imani ya wananchi na kuendeleza harakati za mabadiliko ya kweli.
 
bila pesa hutafanya lolote..... let us wait and see
 
Weka video
 
Back
Top Bottom