DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Huko Butiama mtoto wa Nyerere amefungiwa ndani asimuone Samia, unaenda nyumbani kwa mtu unafungia mwenye nyumba ndani hii ni hatari sana.
Wangapi mnaamini kama jamaa ana tatizo la Afya akili?
Pia Soma:
Wangapi mnaamini kama jamaa ana tatizo la Afya akili?
Pia Soma:
- Familia ya Mwl. Nyerere yamkataa Andrew Nyerere na kauli yake. Yakamribisha rais Samia Butiama
- Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi