GE2025 Andrew Nyerere anadai kufungiwa ndani wakati wa kampeni za Samia huko Butiama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kwa kuwa tunaye humu atakuja kutueleza Kwa kina

Hata hivyo ana bahati wamemfungia ndani amepata hadi nafasi ya kupost hiyo taarifa mitandaoni, siku nyingine atapokonywa simu zake zote na kuzimiwa Data kabisa

Watu wanataka mitano tena, yeye anampinga 😜
 
Nani anasema Nyerere alitengeneza taifa la waoga?
 
Taahira huyu!!
 

Ana bahati ni mtoto wa Nyerere, angekuwa mlalahoi angekuwa ameishatekwa na kikosi maalum cha utekaji kwa kusema Samia asiende kwenye kaburi la Nyerere na kuzungumzia utekaji, demokrasia. Kwao genge la Samia hilo ni kosa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…