Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa tofauti na iphone.
Ila toka itoke android 10, nadhani hili tatizo limepungua. Hapa nilikuwa nahesabu nimetimiza miezi 7 toka ninunue hii simu, sijaireset na bado ina run vile vile kwa speed ile ile. Ina android 11 lakini.
Android inazidi kuimalika