Android 10 and above

Android 10 and above

Ee mkuu simu ununue mwenyewe mtu aje akupangie matumizi huo undezi haupo, hyo ni redmi 8 nlinunua ina Android 10,
Hata kama na void warranty poa tu, make simu nliagiza online hata ikiharibika under warranty nisingeweza irudisha irekebishwe.
Umetumia njia gani ku root nina Android 7.1.1 na tayari nimedownload rom ya android 10 ila kuroot imeshindikana
 
Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa tofauti na iphone.

Ila toka itoke android 10, nadhani hili tatizo limepungua. Hapa nilikuwa nahesabu nimetimiza miezi 7 toka ninunue hii simu, sijaireset na bado ina run vile vile kwa speed ile ile. Ina android 11 lakini.

Android inazidi kuimalika
Nahisi inategemea na simu ulizokuwa unatumia.....binafsi sijawahi experience tatizo lolote la ki android na hii nokia
 
Ee mkuu simu ununue mwenyewe mtu aje akupangie matumizi huo undezi haupo, hyo ni redmi 8 nlinunua ina Android 10,
Hata kama na void warranty poa tu, make simu nliagiza online hata ikiharibika under warranty nisingeweza irudisha irekebishwe.
Unajiwekaje hio rom?? Nielekeze vizuri yani kama simu ipo hivi unaibadilisha kuwaje??
 
Umetumia njia gani ku root nina Android 7.1.1 na tayari nimedownload rom ya android 10 ila kuroot imeshindikana
Sorry kwa kua offline, kwa muda huna haja ya kuroot ili kuweka custom rom, wewe sema simu yako ni aina gani, uelekezwe namna ya ku unlock bootloader na kuweka recovery, au njia rahisi ingia youtube andika how to unlock bootloader malizia na jina la simu yako.
 
Unajiwekaje hio rom?? Nielekeze vizuri yani kama simu ipo hivi unaibadilisha kuwaje??
Ni hivi mfano company ya xiaomi, ma rom yao mazito sana, ko kwa hizi low end zetu za laki mbili, ili kucheza magem unahitaji kuweka ROM nyepesi kama za Lineage Os na kuifanya sim iwe smooth na better in multitasking.
 
Sorry kwa kua offline, kwa muda huna haja ya kuroot ili kuweka custom rom, wewe sema simu yako ni aina gani, uelekezwe namna ya ku unlock bootloader na kuweka recovery, au njia rahisi ingia youtube andika how to unlock bootloader malizia na jina la simu yako.
Hivi hii process haiwezi kui-brick simu?
 
Pole
Nina simu imegota android 10 naiwazia ila hofu ya kui-brick ndio inanifanya nisite
Pole sana kama unaogopa kubrick acha kabisa usije ukajuta, na kubrick pia sio rahisi kama unavozani mara nyingi watu husoft brick, ila ku hard brick ni ngumu sana, yani hadi ishindwe kuwashwa kwa EDL labda lakini.
 
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom