Android 10 and above

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa tofauti na iphone.

Ila toka itoke android 10, nadhani hili tatizo limepungua. Hapa nilikuwa nahesabu nimetimiza miezi 7 toka ninunue hii simu, sijaireset na bado ina run vile vile kwa speed ile ile. Ina android 11 lakini.

Android inazidi kuimalika
 
Sababu Android inafungwa kila siku, Android 11 imefungwa sana hasa na Scoped storage. App nyingi za zamani hazifanyi kazi na Android 11.

Mimi binafsi nimedowngrade na sina mpango wa kwenda Android 11+ kwa miaka hii ya karibuni ijayo.
 
Naamini Apps nyingi ambazo hazifanyi kazi ni zile kutoka kampuni zisizo well established namaanisha sio kutoka kampuni major kama Twitter, Google, Meta, Tencent and co.
 
Naamini Apps nyingi ambazo hazifanyi kazi ni zile kutoka kampuni zisizo well established namaanisha sio kutoka kampuni major kama Twitter, Google, Meta, Tencent and co.
Some ni kutoka established companies ila hawazisupport. Mfano nina game linaitwa Might and Magic clash of Heroes halikubali Android 11 na ni la Ubisoft.
 
Sababu Android inafungwa kila siku, Android 11 imefungwa sana hasa na Scoped storage. App nyingi za zamani hazifanyi kazi na Android 11.

Mimi binafsi nimedowngrade na sina mpango wa kwenda Android 11+ kwa miaka hii ya karibuni ijayo.
So, kuwa wazinkulikuwa kuna affect vipi simu na kuzifanua ziwe slow mkuu?
 
Some ni kutoka established companies ila hawazisuport. Mfano nina game linaitwa Might and Magic clash of Heroes halikubali Android 11 na ni la Ubisoft.
Tatizo sio Google na Android ni kutoka kwa developer mwenyewe, must opt kufahamu new specification na aspects za version mpya pia different android devices zina-apply.
 
Tatizo sio Google na Android ni kutoka kwa developer mwenyewe, must opt kufahamu new specification na aspects za version mpya pia different android devices zina-apply.
Android 11 ina scoped storage app hazina permission nyingi za ku access storage, si hio app tu hata emulators nyingi zime break. Ni tatizo la Android yenyewe.

Ni issue controversial kidogo.

Hio ni kama ios ama windows phone ambapo app zinakuwa sandboxed na ku access vitu ambavyo vipo kwenye folder lake tu.
 
So, kuwa wazinkulikuwa kuna affect vipi simu na kuzifanua ziwe slow mkuu?
Mkuu os ikiwa open ni panga linakata kotekote.

Zamani Android app ilikuwa na uhuru wote inaweza ku access kila kitu kasoro tu root folders, hii inasababisha hata uki un install app isitoke yote, sababu inaweka mafile mahala popote inapotaka. Uhuru huu unakuja na risk kama ulizotaja mfano simu kuwa slow.

Ila Android mpya zinatoa hayo mambo app inakuwa na sehemu yake ya kuweka mafile hazina uhuru kama mwanzo, ni jambo zuri ila pia linaharibu mambo mengine.

Ila pia jambo jengine linalofanya simu ziwe faster ni storage za UFS. Zamani storage zilikuwa slow sana lakini siku hizi UFS unapata speed za ssd, kama umewahi upgrade computer toka hdd kwenda ssd utaelewa jinsi faster storage zinavyoongeza speed. Hivyo hata kama simu haipo optimized inasaidia kuifanya iwe faster.
 
Yes! I agree 👌
 
Ee mkuu simu ununue mwenyewe mtu aje akupangie matumizi huo undezi haupo, hyo ni redmi 8 nlinunua ina Android 10,
Hata kama na void warranty poa tu, make simu nliagiza online hata ikiharibika under warranty nisingeweza irudisha irekebishwe.
Ukaitia ufundi kidogo
 
Hivi kila simu inauwezo wa kuupgrade Android version siku hizi au baadhi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…