Android App API

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu nilizo analyse hakuna iliyoenda nje na prediction result, Nimeamua nitengeneze application kabisa lakini nina changamoto zifuatazo.

1. Inanilazimu kujaza data manually na ina 8 input fields.
2. Timu nazotaka ku analyse lazima niziandae kwenye karatasi kwanza.

Nataka nijue namna ya kui link na site kama livescore, iwe ina fetch data yenyewe na ku analyse then inatoa tu result. Yaani mi kwenye app yangu nachagua tu timu kwa ku click zikiwa na anylisis yake tayari.

Asanteni.
 
Weka picha kwanza tuanzie apo!View attachment 2066596
Picha ya nini tena mkuu, sitangazi biashara natafuta msaada wa jinsi ya kuunga na API za livescore, app nimeunda tayari ila haifanyi kazi. kwa sasa na run code moja kwa moja kwenye CLI. Kama unaelewa namna ya ku link app moja na nyingine kwa ajili ya kuchukua data hit pm tuyajenge.
 

kama unaweza integrate GET/POST requests kwa app yako na kupata responses kupitia live score api, cheki hapo kuna bei zao na documentation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…