Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu nilizo analyse hakuna iliyoenda nje na prediction result, Nimeamua nitengeneze application kabisa lakini nina changamoto zifuatazo.
1. Inanilazimu kujaza data manually na ina 8 input fields.
2. Timu nazotaka ku analyse lazima niziandae kwenye karatasi kwanza.
Nataka nijue namna ya kui link na site kama livescore, iwe ina fetch data yenyewe na ku analyse then inatoa tu result. Yaani mi kwenye app yangu nachagua tu timu kwa ku click zikiwa na anylisis yake tayari.
Asanteni.