Android games na Appplications za kulipia (free)

SteveMollel

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
8,797
Reaction score
25,177
Niaje wananzengo?

Direct to the point.

Kwa wale waumini wa apps ambazo zinahitajika kufanya manunuzi ili upate baadhi ya huduma, karibuni sana hapa.

Utapakua apps unazozitaka na hata games vilevile (wewe mwenyewe) zikiwa tayari na full money ama coins ndani yake so wewe ni kufanya purchasing tu.

Njia ya kwanza ni kwa kutumia HappyMod



Hii ni njia yangu ya kwanza maana ni uhakika kwamba unachokidownload ni virus-free kwa ajili ya chombo chako. Pia ndani ya app hii utasearch tons of apps na games utakazo, zote zikiwa free of them.



Utasearch category unayoitaka, aidha games or apps.





Na hizi ni baadhi ya games na app ambazo nimezipakua humo na 100% working...














AudioMack Pro.


InShot Pro


PicsArt Pro.



WPS Pro



ZArchiver Pro.

Download HappyMod hapa 👉 HappyMod.com | Modded apk store with fast download speed!

Njia nyingine ni kwa kupitia telegram ambapo kuna channels zinazoupload modded apps, na baadhi ni free na public channels, mfano Zach Mod, APKDONE na MODDROID. Search telegram utaziona.






Kizuri kula na nduguyo!
 
Kwa ajili ya kutengeneza disposable emails .. huna haja ya kusambaza emails zako kila sehemu uanze kupokea spam na phishing messages.
 
Kiongozi tupeane link ya telegram tujoin
 
hii poa sana
Magoli sana maana kila sehemu online wanataka emails. Na unakuta kuna sehemu zingine unataka kitu lakini wanataka mpaka u-sign up na ukicheki hauoni ulazima huo wa kutoa email yako halisi.

Hapa ndo inapokuja swala la Temporary Email ambayo utaitumia kwa muda huo na ukiamua kuidump ni wewe tu.

Utajikuta una uwezo wa kufungua accounts nyingi uwezavyo hata kama platform ni moja sabab una emails nyingi muda wowote utakapohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…