clet 8
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,127
- 322
Kiongozi, nimetumia njia ya kwanza lkn nikigusa sehemu ya apps hapafunguki!Enjoy, boss.
Msaàda tafadhari.
Sent from my SM-T285M using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi, nimetumia njia ya kwanza lkn nikigusa sehemu ya apps hapafunguki!Enjoy, boss.
Hakuna file Manager nzuri kama ya Google! Nimezunguka playstore sana kutafuta file manager nzuri karibia 20 ila sikupata hata 1 yenye sifa nazotaka hasa u faster nikaja ona ile ya Google imekidhi vigezo baada ya kui update...File manager hiyo ni nzuri na nyepesi sana. Ni rafiki kwa low end smart phones.View attachment 1752149View attachment 1752148View attachment 1752150View attachment 1752151
Hata Es File Explorer iko vizuri ni nyepesi ku load mafiles..Ni file manager gani mkuu? ES file manager ama?
Mkuu bila haja ya kubonyeza sehemu ya app, unaweza search tu kwenye boxKiongozi, nimetumia njia ya kwanza lkn nikigusa sehemu ya apps hapafunguki!
Msaàda tafadhari.
Sent from my SM-T285M using JamiiForums mobile app
Inaitwaje mkuu? Jus Google files or?Hakuna file Manager nzuri kama ya Google! Nimezunguka playstore sana kutafuta file manager nzuri karibia 20 ila sikupata hata 1 yenye sifa nazotaka hasa u faster nikaja ona ile ya Google imekidhi vigezo baada ya kui update...
Sema kuizoea tu ndo ilinipa tabu, ila iko faster sana hata ukisearch kitu kinakuja instantly (imagine kwenye simu nina miziki 7000) tofauti na zingine mpaka zinaload sekunde kadhaa...
Inaitwaje mkuu? Jus Google files or?
Niaje wananzengo?
Direct to the point.
Kwa wale waumini wa apps ambazo zinahitajika kufanya manunuzi ili upate baadhi ya huduma, karibuni sana hapa.
Utapakua apps unazozitaka na hata games vilevile (wewe mwenyewe) zikiwa tayari na full money ama coins ndani yake so wewe ni kufanya purchasing tu.
Njia ya kwanza ni kwa kutumia HappyMod
View attachment 1751712
Hii ni njia yangu ya kwanza maana ni uhakika kwamba unachokidownload ni virus-free kwa ajili ya chombo chako. Pia ndani ya app hii utasearch tons of apps na games utakazo, zote zikiwa free of them.
View attachment 1751716View attachment 1751720View attachment 1751721View attachment 1751722
Utasearch category unayoitaka, aidha games or apps.
View attachment 1751723
View attachment 1751724
Na hizi ni baadhi ya games na app ambazo nimezipakua humo na 100% working...
View attachment 1751728
View attachment 1751732
View attachment 1751754
View attachment 1751735
View attachment 1751736
View attachment 1751737
AudioMack Pro.
View attachment 1751738
InShot Pro
View attachment 1751739
PicsArt Pro.
View attachment 1751745
WPS Pro
View attachment 1751747
ZArchiver Pro.
Download HappyMod hapa 👉 HappyMod.com | Modded apk store with fast download speed!
Njia nyingine ni kwa kupitia telegram ambapo kuna channels zinazoupload modded apps, na baadhi ni free na public channels, mfano Zach Mod, APKDONE na MODDROID. Search telegram utaziona.
View attachment 1751750
View attachment 1751751
View attachment 1751752
View attachment 1751753
Kizuri kula na nduguyo!
Tumia HappyMod, ipo ndani yake.Badoo premium naweza kupata kwa kutumia hii njia yako kiongozi...?
Nasubiria jibu mkuu. Ahsante.
Tazama kwenye features. Ndo maana nikaambatanisha na shots hapo zikiwa na sifa za hyo badoo ambayo ni modded.Mkuu hii sio Badoo ya kawaida kiongozi coz hapo juu naona wameandika tu Badoo sijaona neno Premium mkuu...!
Basi wahusika wameshai-pin. No worries, nakutumia link ya MODDROID, udownload mwenyewe.Kiongozi, nimeishusha hiyo ya HappyMod baada ya kuifungua ikanitaka ni-update...
View attachment 1754915
Baada ya kugusa hapo palipoandikwa Update ikanipeleka Play Store ambapo sikuona sehemu inayoniwezesha ku-update, kuna sehemu ya ku-uninstall na ku-open...
View attachment 1754919
Well, nikigusa hapo kwenye open inanirudisha tena sehemu iliyoandikwa update...
View attachment 1754921
Nikigusa tena hapo palipoandikwa update inanipeleka tena Play Store, sasa sjui unaweza kunisaidia vipi hapo kiongozi...!
Thanks in advance.
moddroid.com
Karibu, mkuu.Mitano tena kWa mtoa post
Basi wahusika wameshai-pin. No worries, nakutumia link ya MODDROID, udownload mwenyewe.
View attachment 1754981![]()
Badoo Premium v5.216.0 APK + MOD (Ghost Unlock/Points) Download
Badoo is receiving the support of so many people all over the world. This is a hot dating application. We can find lovers after only a short time usingmoddroid.com
Hahaha mkuu mbona 50 mb ni ndogo sana.Sawa kiongozi ngoja nijitose naona ujazo ni 50Mb ikigoma nayo sjui itakuaje mkuu...?
moddroid.com
moddroid.com
Hahaha mkuu mbona 50 mb ni ndogo sana.
Unatumia voda na tigo nn? [emoji1]Nafahamu kiongozi ila kwa hizi bundle za Ndungulile aiseeee...!
Hatariuos bro.