Android games na Appplications za kulipia (free)

File manager hiyo ni nzuri na nyepesi sana. Ni rafiki kwa low end smart phones.View attachment 1752149View attachment 1752148View attachment 1752150View attachment 1752151
Hakuna file Manager nzuri kama ya Google! Nimezunguka playstore sana kutafuta file manager nzuri karibia 20 ila sikupata hata 1 yenye sifa nazotaka hasa u faster nikaja ona ile ya Google imekidhi vigezo baada ya kui update...

Sema kuizoea tu ndo ilinipa tabu, ila iko faster sana hata ukisearch kitu kinakuja instantly (imagine kwenye simu nina miziki 7000) tofauti na zingine mpaka zinaload sekunde kadhaa...
 
Inaitwaje mkuu? Jus Google files or?
 

Badoo premium naweza kupata kwa kutumia hii njia yako kiongozi...?

Nasubiria jibu mkuu. Ahsante.
 
Tumia HappyMod, ipo ndani yake.

Utanipa feedbackView attachment 1754858View attachment 1754859

Kiongozi, nimeishusha hiyo ya HappyMod baada ya kuifungua ikanitaka ni-update...



Baada ya kugusa hapo palipoandikwa Update ikanipeleka Play Store ambapo sikuona sehemu inayoniwezesha ku-update, kuna sehemu ya ku-uninstall na ku-open...



Well, nikigusa hapo kwenye open inanirudisha tena sehemu iliyoandikwa update...


Nikigusa tena hapo palipoandikwa update inanipeleka tena Play Store, sasa sjui unaweza kunisaidia vipi hapo kiongozi...!

Thanks in advance.
 
Mkuu hii sio Badoo ya kawaida kiongozi coz hapo juu naona wameandika tu Badoo sijaona neno Premium mkuu...!
Tazama kwenye features. Ndo maana nikaambatanisha na shots hapo zikiwa na sifa za hyo badoo ambayo ni modded.

Anyways, umeidownload ukaona?
 
Basi wahusika wameshai-pin. No worries, nakutumia link ya MODDROID, udownload mwenyewe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…