Android games na Appplications za kulipia (free)

Hahaha mkuu mbona 50 mb ni ndogo sana.

Nafahamu kiongozi ila kwa hizi bundle za Ndungulile aiseeee...!

Hatariuos bro.
Unatumia voda na tigo nn?

Yes kiongozi natumia line ya voda na Tigo ila so far, Jumatatu natumai nitachukua Halotel na TTCL naskia kidogo wapo nafuu aisee.

Well, nimejaribu hiyo link nyingine uliyonipa ya MODDROD nime-download Badoo Premium /
 
Umekwama?
 
Yes kiongozi inanipa features za Badoo ya kawaida tu mkuu...!

Tunafanyaje hapo mkuu...?
Mkuu, ukute unatumia account ileile na kwenye hii ambayo ni modded, umejaribu kusign up upya?

Ngoja niingie mzigoni wa kuitafuta.
 
Mkuu, ukute unatumia account ileile na kwenye hii ambayo ni modded, umejaribu kusign up upya?

Ngoja niingie mzigoni wa kuitafuta.

Mkuu hebu naomba ujaribu hakafu unipe mrejesho labda nakosea Pahala kiongozi...! Thanks a lot brother...!
 
Shida apk yao kwa simu za armbv7a haipo. Yaani ya android 32bit canal.
 
Mkuu, ukute unatumia account ileile na kwenye hii ambayo ni modded, umejaribu kusign up upya?

Ngoja niingie mzigoni wa kuitafuta.
Daaah bro still tunapata same meseji kwamba tuingie badoo ya playstore ambayo haina changes yoyote
 
Daaah bro still tunapata same meseji kwamba tuingie badoo ya playstore ambayo haina changes yoyote
Badoo imekuwa very challenging. Wanachokifanya wanacommand u-update ili iwe ngumu kwa cracked app ku-operate. Anyways, bado naisaka mkuu best and working mod.

Ntaitupia.
 
Braza hiv turbo vpn ina features gani exclusive?
Ya kawaida tu kwa mtu anayetafuta exclusive features lakini kwa matumizi ya kawaida kama ku-avoid geo-restrictions, you can go for it. Kasi yake ya internet ni normal. Kwa upande wa premium unaweza itumia ku-stream NETFLIX tho bado sio better side.
 
Hiv badoo ina uzuri gani wakuu, yawezekana ina vitu vizuri afu wengine hatujui hebu tujuzane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…