Kufichia pictures, videos, blocking apps na contacts.
Ina features kama vile stealth mode na camouflage kwa ulinzi zaidi.
Mzee baba DCIM ni file linalohusika na kutunza medias kwa simu yako, especially images. Ni kifupi cha Digital Camera Images. Ni 'in-built file' kwenye simu whether iwe android au iPhone.Aisee kuna folder linaitwa DCIM nawezaje kuli-delete hili folder mkuu...?
Linakula sana space halafu ukilifuta halifutiki aisee...!
Tafuta Swagbucks, unaweza pia tumia web yao. Utakuta games ambazo waweza make real money.Sorry naomba kuulza ni app gan ya Game ninayoweza kuwa nikpata muda natengenza pesa kuptia Game!?!!
Mzee baba DCIM ni file linalohusika na kutunza medias kwa simu yako, especially images. Ni kifupi cha Digital Camera Images. Ni 'in-built file' kwenye simu whether iwe android au iPhone.
Leo natupia brother. Usikonde. Nina mizigo moto sana.
View attachment 1751794View attachment 1751793
Dah ngoja nidownloadUtamu wa ngoma inabidi uiingie uicheze ndio utajua kuwa tamu au sio tamu kuhadithiwa huwezi kujua ladha yake ikoje mkuu...!
Karibu sana kiongozi.
Dah ngoja nidownload
Kulifuta utaweza kulifuta ila baada ya muda linajigenerate tena na kuchuku almost same size ya mwanzoni, in fact hii ni kama cache ya DCIM every time unajaribu kuaccess images or photos kwenye gallery hili fail hujitengeneza kama ulilifuta labda kama hutotumia camera which is impossible!Okay sawa naelewa hiko kitu lakini ndio nahitaji kulifuta linakula space bila sababu tu mkuu...!
Braza, jana nimedownload huo mzigo lakin cha kushangaza, nimeset ringtone vizuri lakin mtu akipiga haitoi sauti, naoma nisaidie cha kufanyaWazee wa Truecaller ... Huo hapo mzigo wa Pro.
View attachment 1754995View attachment 1754996Truecaller Premium APK + MOD v11.56.8 (Gold/Pro Unlocked) Download
Although it is now the age of the internet, connecting with each other through phone calls is still the method of choice for many people. However, theremoddroid.com
Mkuu, ukilifuta litarudi tena. Kwani humo ndani hamna picha zako?Okay sawa naelewa hiko kitu lakini ndio nahitaji kulifuta linakula space bila sababu tu mkuu...!
Naomba link ya hiyo channel
Na je pasipo hiyo app, hiyo ringtone itaita? Pengine ni tatizo la simu na si app.Braza, jana nimedownload huo mzigo lakin cha kushangaza, nimeset ringtone vizuri lakin mtu akipiga haitoi sauti, naoma nisaidie cha kufanya
View attachment 1762729
Mkuu, ukilifuta litarudi tena. Kwani humo ndani hamna picha zako?
Hapana, ilianza baada ya kuset hiyo app to defaultNa je pasipo hiyo app, hiyo ringtone itaita? Pengine ni tatizo la simu na si app.
Bro vipi mzigo uligoma nini??Badoo imekuwa very challenging. Wanachokifanya wanacommand u-update ili iwe ngumu kwa cracked app ku-operate. Anyways, bado naisaka mkuu best and working mod.
Ntaitupia.
Mpaka hivi sasa nahaha.Bro vipi mzigo uligoma nini??