Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Apple Inc anamiliki simu (Kifaa) na Program Software (iOS) vyote ni vyake. Android hamiliki kifaa (Simu), vifaa (Simu/tablets) ni mali za watu wengine Samsung/Tecno/Infinix n.k.
Android anauza Software peke yake. Apple Inc lazima wawe na kipato kikubwa sababu wamedhibiti bidhaa zao, huwezi ipata iOS nje ya iPhone, lakini unaweza ipata Android nje ya Samsung/Tecno/Google pixel n.k.
Apple Inc lazima wauze bidhaa zao bei juu, sababu hakuna mbadala wa bidhaa zao (Yaan OS na Simu yaani iPhone). Android unaipata kwa wazalishaji wa simu wengi wenye kushindana.
Ingekuwa iOS inapatikana kwingine nje ya iPhone, kungekuwa na mbadala wa kifaa. Huna iPhone hujatumia iOS. Android is everywhere.
Hiizo hesabu hazielewi hio ni graph au pie chart?
Hii hesabu ni ngumu pia umetumia nini kusolve Periodic Table au 4 Figure?Apple Inc anamiliki simu (Kifaa) na Program Software (OS). Android hamiliki kifaa, vifaa (Simu/tablets) ni mali za watu wengine Samsung/Tecno/Infinix n.k.
Android anauza Software peke yake. Apple Inc lazima wawe na kipato kikubwa. Android ni third party sio mzalishaji wa simu.
Hii hesabu ni ngumu pia umetumia nini kusolve Periodic Table au 4 Figure?
Mkuu mimi naweza tumiaHuwezi tumia iOS nje ya iPhone. Huna iPhone huwezi tumia iOS.
Mkuu mimi naweza tumia
Kwenye laptopUnaweza tumia iOS nje ya iPhone?
Kwenye laptop
iPhone pia ana simu za bei rahisi Ila hazinunuliwi Sana kama simu za bei ghali, advantage yao kubwa ni location Yao, wapo kwenye soko ambalo uchumi wao ni mkubwa. Ingekua ni Africa watu wangenunua iPhone 16E zaidi ama 16 plain kuliko 17 pro max.Apple Inc anamiliki simu (Kifaa) na Program Software (iOS) vyote ni vyake. Android hamiliki kifaa (Simu), vifaa (Simu/tablets) ni mali za watu wengine Samsung/Tecno/Infinix n.k.
Android anauza Software peke yake. Apple Inc lazima wawe na kipato kikubwa sababu wamedhibiti bidhaa zao, huwezi ipata iOS nje ya iPhone, lakini unaweza ipata Android nje ya Samsung/Tecno/Google pixel n.k.
Apple Inc lazima wauze bidhaa zao bei juu, sababu hakuna mbadala wa bidhaa zao (Yaan OS na Simu yaani iPhone). Android unaipata kwa wazalishaji wa simu wengi wenye kushindana.
Ingekuwa iOS inapatikana kwingine nje ya iPhone, kungekuwa na mbadala wa kifaa. Huna iPhone hujatumia iOS. Android is everywhere.
Laptop gani ina run iOS? Maana kama ni Apple laptop zao zinatumia MacOSKwenye laptop