Android Permission Manager

Android Permission Manager

Vidoca

Member
Joined
Jun 27, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android.

Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji japo bado kunatakiwa kaangaziwa macho.

Leo naomba kwa anayejua aniambie ni nini hasa mapungufu (techmical weakness) ya android permission manager?

Je, ni kweli imetatua changamoto ya zilizokusudiwa?

Sio sio shida iko wapi ni nini?
 
Back
Top Bottom