Andunje mpenda Magoli. Huyu jamaa hatumpendi lakini tukubali. He is something. Hapoi , Haboi

Ila Mbappe anaweza beba kwa mara nyingine top score itakua mara ya 3 mfululizo
 
Ila Mbappe anaweza beba kwa mara nyingine top score itakua mara ya 3 mfululizo
Una maanisha mara ya pili mfululizo? Maana Top scorer wa WC 2018 hakuwa yeye.
 
Mbappe ana watu wengi wa kumsaidia kufanya mambo yawe rahisi.
Exactly 📌 Tena damu zikiwa bado mbichi na hao watu wenyewe ni world class player mtu as dembele ni namba nyingine, imagine dembele tu ana goli 4 mbape Sita Hadi hapo hiyo combo unaweza kuona impact yake Ina nguvu kiasi Gani
 
Tatizo watu wengi ni bendera fuata upepo. Kipi sasa kinachokufanya umchukie Lionel Messi kama siyo siasa chafu za kuwashindanisha Messi vs Ronaldo?
 
Una maanisha mara ya pili mfululizo? Maana Top scorer wa WC 2018 hakuwa yeye.
Zaidi ya miaka kumi sasa hakuna timu tishio ya Taifa zaidi ya Fracnce, anachosema ni jamaa. France ana watu ndio maana kazi kwa Mbappe imekuwa nafuu kidogo japo tunaamini kabisa uwezo mkubwa alionao Mbappe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…