Anefanya musterbation hana tofauti na anaetumia heroin

tilmikha

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
496
Reaction score
604
Natumai mpo wazima na hata wale walio wagonjwa nawaombea wapone haraka.

Nadhani kichwa cha habari kitakuwa kimewashtua chama cha wapiga punyeto pamoja na wenyeviti wao ila naomba muwe watulivu na wavumilivu na huu uzi usichukuliwe kama kuwakashifu bali ni katika njia za kuzinduana.

Kwanza nianze kueleza kile kinachotokea wakati mtu anapotumia dawa za kulevya kama heroin pamoja na aina nyengine za dawa mfano nicotine, ethanol n.k.

Dawa hizi zimekuwa zikichochea utolewaji wa chemical iitwayo Dopamine ambayo kwa jina jengine hujulikana kama "Pleasure Compound". Hii yenyewe ni neurotransmitter ambayo huwa inatolewa kwa lengo la kutuma taarifa kutoka katika seli moja ya ubongo kwenda katika seli nyengine.

Sasa hizo dawa ambazo nimezitaja hapo juu na nyengine hupelekea utolewaji wa hiyo dopamine kwa kiasi kikubwa kwa namna ambayo huathiri maumbile na mfumo wa ufanyaji kazi wa hizo seli za ubongo na hatimaye husababisha Adiction (UTEJA).

Sasa unapofanya masturbation kwa njia yoyote Ile uijuayo wewe basi wakati ule unafikia kilele cha raha yaani CLIMAX basi hapo dopamine pia hutolewa tena kwa kiwango kikubwa kama itolewavyo kwa mtu anayetumia dawa za kulevya.

Wapo ambao wanaweza kusema kufanya masturbation ni sawa sawa na kufanya tendo la ndoa la kawaida kwakuwa raha sehemu zote zinapatikana. Lakini si kweli; kufanya sex original ni tofauti na kufanya fake sex kwa sababu kwenye tendo la ndoa la kawaida unaweza kutarajia kupata yafuatayo, kama flirting, touching, smells, pheromones, intimacy, penetration pamoja na orgasm. (nimetumia english kukata ukali wa maneno) Sasa kwenye punyeto kuna patikakana jambo moja tu nalo ni Orgasm.

Natumai utakua umenielewa hivo ukiendelea na hilo jambo jua kuwa wewe huna tofauti na teja anaetumia heroin.

Nakutakia mchana mwema. Ahsante kwa utulivu wako.

 

Kama ni hivyo basi hata unapofanya ngono una release dopamine kwa wingi...mimi nimepiga punyeto tangu mwaka 1987 nimeacha 2003 baada ya kuoa.
Labda nikuulize, wewe ushawahi kupiga punyeto, au wewe kazi yako ni uasherati tu.
 
Kama ni hivyo basi hata unapofanya ngono una release dopamine kwa wingi...mimi nimepiga punyeto tangu mwaka 1987 nimeacha 2003 baada ya kuoa.
Labda nikuulize, wewe ushawahi kupiga punyeto, au wewe kazi yako ni uasherati tu.
Mimi nina mke ponyeto nasikia tu, na nina amini you still doing it you can't admit
 
Kuna jamaa amejazia mkono mmoja utakuwa una mimba.
 
Hizo ni tuhuma za mitandaoni tu...
Basically effects za punyeto ni psychological na physical tu...hakuna effect ya punyeto ambayo ni chemical kama ulivyosema wewe..

Dopamine inakuwa released sawa tu na wakati wa sex tena kwenye sex mtu anaweza kufika orgasm hata mara nne.
Lakini ni very rare mtu akapiga punyeto bao nne mfululizo(labda kwa viongozo waandamizi wa chaputa)

Kwahio obvious mtu wa chaputa atakuwa exposed kwa dopamine kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kama members wa hicho Chama huwa hawafanyi mara moja tu, halafu hio physical and psychological effects inatokana na kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…