Mimi ilivyokuwa three weeks nlipima ultrasound Dr akadai haoni kitu watu wakanipa moyo wakasema bado ndogo sana nam nkajipa moyo Dr mwngne akanipa duphastone maana ilikuwa kama vile nahc kubleed nkapewa duphastone hali ikakaa vzr kdg ila ilivyofika 6 wk ndo nkaanza kubleed kupima nkamwambia hvyo kama nlivyoshaur japo chnNaona Wanachelewa tu
Then Ukapata Miscarriage ? Au ili developMimi ilivyokuwa three weeks nlipima ultrasound Dr akadai haoni kitu watu wakanipa moyo wakasema bado ndogo sana nam nkajipa moyo Dr mwngne akanipa duphastone maana ilikuwa kama vile nahc kubleed nkapewa duphastone hali ikakaa vzr kdg ila ilivyofika 6 wk ndo nkaanza kubleed kupima nkamwambia hvyo kama nlivyoshaur japo chn
Iliharibika ila mimba ya hvyo haiwez kukua japo Mimi sio muumba ila itakuwa tu inamtesa ila kuna mtu alinambia ndugu yake ilikuwa hivyo hvyo ila akakaa kama wiki mbili kurudi eti kijusi kikaonekana cha msingi asifanye kazi nzito awe na bed rest na atumie dawa inaweza kukua maana mungu mwenyewe ndo anajua ila endapo bleed inayotoka iwe nyepesi na isitoke siku nyngi ndo itakuwa kama cku 4 hv ikate ila Mimi yalianza kutoka hadi mabonge nkasema na mungu tu hii mimba n bora itoke maana nilijua tu itanitesa kiukweli ...mpe pole sana mungu atamsaidia (sorry kwa gazeti nmeelezea kwa experience )Then Ukapata Miscarriage ? Au ili develop
Siyo Gazeti Ndugu ila Ni Msaada Mkubwa Ulionipa.. Asante na Mungu akubariki Hope God wil Put His Hand on ThisIliharibika ila mimba ya hvyo haiwez kukua japo Mimi sio muumba ila itakuwa tu inamtesa ila kuna mtu alinambia ndugu yake ilikuwa hivyo hvyo ila akakaa kama wiki mbili kurudi eti kijusi kikaonekana cha msingi asifanye kazi nzito awe na bed rest na atumie dawa inaweza kukua maana mungu mwenyewe ndo anajua ila endapo bleed inayotoka iwe nyepesi na isitoke siku nyngi ndo itakuwa kama cku 4 hv ikate ila Mimi yalianza kutoka hadi mabonge nkasema na mungu tu hii mimba n bora itoke maana nilijua tu itanitesa kiukweli ...mpe pole sana mungu atamsaidia (sorry kwa gazeti nmeelezea kwa experience )
Samahani! Je uliweza beba mimba nyingine bila Shida hiyo kujitokeza tenaIliharibika ila mimba ya hvyo haiwez kukua japo Mimi sio muumba ila itakuwa tu inamtesa ila kuna mtu alinambia ndugu yake ilikuwa hivyo hvyo ila akakaa kama wiki mbili kurudi eti kijusi kikaonekana cha msingi asifanye kazi nzito awe na bed rest na atumie dawa inaweza kukua maana mungu mwenyewe ndo anajua ila endapo bleed inayotoka iwe nyepesi na isitoke siku nyngi ndo itakuwa kama cku 4 hv ikate ila Mimi yalianza kutoka hadi mabonge nkasema na mungu tu hii mimba n bora itoke maana nilijua tu itanitesa kiukweli ...mpe pole sana mungu atamsaidia (sorry kwa gazeti nmeelezea kwa experience )
Je ukipima mimba ya wiki 3 kwenye ultrasound wanasema haionekan ila wanaona fluid za bacteria kwenye pod yan PID hivi hiyo mimba inaweza Kudumu ..maana Dr kasema mimba ni ndogo haiwez kuonekana kwenye ultrasound ila kuhusu hiyo PID nimepewa dawa ...nishaurini mwenzenu itakua kweli hii maana wengne wanasema wiki tatu wanaonaga hata damu iliyotunga kidogoAlifanya transv utrasound???
Kama alifanya hiyo us ya ukeni at 6weeks β alitakiwa aone gestation sac ikiwa na yolk sac, pia na heartbeat . Kama heartbeat ijiwepo chances tha misscariage angalau zinapungua kidogo kwa kama 10%
Toka apate mimba aliwahi pima bhcg na progestrone(spelling) hormones? Haswa bhcg ingempa jibu la mimba yake as inatakiwa idouble kila baada ya 72 hrs kama sikosei
Ila dr kamshaurije?
Bora arudie us baada ya wiki 2
NmekupmSamahani! Je uliweza beba mimba nyingine bila Shida hiyo kujitokeza tena
Alifanya transv utrasound???
Kama alifanya hiyo us ya ukeni at 6weeks β alitakiwa aone gestation sac ikiwa na yolk sac, pia na heartbeat . Kama heartbeat ijiwepo chances tha misscariage angalau zinapungua kidogo kwa kama 10%
Toka apate mimba aliwahi pima bhcg na progestrone(spelling) hormones? Haswa bhcg ingempa jibu la mimba yake as inatakiwa idouble kila baada ya 72 hrs kama sikosei
Ila dr kamshaurije?
Bora arudie us baada ya wiki 2
Ok aendelee kusubiriNdio alifanya na ni kipimo Hiki pekee alichofanya pamoja na UPT for HCG.. Vingine hakufanya kama hivyo vya Hormone na Bhcg
Doctor alipatia dawa za Kutumia na Now anaendelea vizuri hajapata Bleed tena na ameambiwa arudi baada ya Week 2 so.. we are waiting
Nmeku quote hapo juu nijibu plz maana nmependa maelezo yakoOk aendelee kusubiri
Wakati mwingine mjamzito huwa mchanga ni vyema kucheki hizo hormones.......kama bhcg haidouble inakualert......
Pia after hizo wiki mbili ndio itatoa jibu
Hakukutwa na SCH??? Nayo huleta damu ila inakuwa darkbrown......na ikiwa kubwa huaffect hata ujauzito ingawa nyingi huisha zenyewe au kwa dawa.
Inaonekana.Je ukipima mimba ya wiki 3 kwenye ultrasound wanasema haionekan ila wanaona fluid za bacteria kwenye pod yan PID hivi hiyo mimba inaweza Kudumu ..maana Dr kasema mimba ni ndogo haiwez kuonekana kwenye ultrasound ila kuhusu hiyo PID nimepewa dawa ...nishaurini mwenzenu itakua kweli hii maana wengne wanasema wiki tatu wanaonaga hata damu iliyotunga kidogo