RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,432
Wakuu wa JF doctor
Mdada kapima Ultra Sound na Imeonyesha Kuwa Mimba ina week 6 ila Hakuna Fetal pole wala York sac na Conclusion ni Kwamba ana Anembryonic Pregnancy kwamba Mimba yake haikui Na Doctors wamempa dawa Mbalimbali za Kumeza.
Dalili alizozipata mpk akaenda Hospitalini ni baada ya bleed kuanza kumtoka.
Je kunauwezekano wa Hii Mimba Kuendelea Kukua .. Msaada Kidogo Asanteni