Anembryonic Pregnancy(Mimba Kutokukua)

Kwanza nikupe pole kwa hilo.
Pili nikutoe hofu kua hauko peke yako mwenye tatizo hilo.

Sasa basa, aina hiyo ya mimba waga hazifiki mwisho "term" kwa mantiki hiyo itaharibika muda si mrefu na itatoka.
Hizo dawa wanazokupa ni labda zinajaribu kuamsha tena hatua za ukuaji ingawa muda umepita sana, na pia kudhibiti maumivu unayoweza kuyapata pale mwili utakapo anza kufanya jitihada za kuitoa.

Na inatokeaga tu, hivyo japokua sababu zipo nyingi lakini haiathiri mimba zijazo
Maana yakwamba mimba zijazo kuna asilimia mia nyingi za kukua na kujifungua salama tu.

Muhimu ni kua mpole fuata ushauri wa madaktari.

Pole na kua mvumilivu kwa kipindi hiki kigumu. Pole sana.
 
Ok Nashukuruni Sana Ndugu ..na Hatua aliyofikia Kwa Sasa tumeongea na Doctor Amesema Kesho wakaonane

So anaweza kusafishwa ...
 
Hata Mimi Dr alisema hiyo brighted ovum huwa haijirudii Mara nyngi mimba nyngne zinakuwa salama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…