Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji33] [emoji23]Kuna mwingine alipewaga mbolea baada ya week 2 mimba ikakua na kuendelea vizuri 🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji33] [emoji23]Kuna mwingine alipewaga mbolea baada ya week 2 mimba ikakua na kuendelea vizuri 🙄
Ok Nashukuruni Sana Ndugu ..na Hatua aliyofikia Kwa Sasa tumeongea na Doctor Amesema Kesho wakaonaneKwanza nikupe pole kwa hilo.
Pili nikutoe hofu kua hauko peke yako mwenye tatizo hilo.
Sasa basa, aina hiyo ya mimba waga hazifiki mwisho "term" kwa mantiki hiyo itaharibika muda si mrefu na itatoka.
Hizo dawa wanazokupa ni labda zinajaribu kuamsha tena hatua za ukuaji ingawa muda umepita sana, na pia kudhibiti maumivu unayoweza kuyapata pale mwili utakapo anza kufanya jitihada za kuitoa.
Na inatokeaga tu, hivyo japokua sababu zipo nyingi lakini haiathiri mimba zijazo
Maana yakwamba mimba zijazo kuna asilimia mia nyingi za kukua na kujifungua salama tu.
Muhimu ni kua mpole fuata ushauri wa madaktari.
Pole na kua mvumilivu kwa kipindi hiki kigumu. Pole sana.
Hata Mimi Dr alisema hiyo brighted ovum huwa haijirudii Mara nyngi mimba nyngne zinakuwa salama tuKwanza nikupe pole kwa hilo.
Pili nikutoe hofu kua hauko peke yako mwenye tatizo hilo.
Sasa basa, aina hiyo ya mimba waga hazifiki mwisho "term" kwa mantiki hiyo itaharibika muda si mrefu na itatoka.
Hizo dawa wanazokupa ni labda zinajaribu kuamsha tena hatua za ukuaji ingawa muda umepita sana, na pia kudhibiti maumivu unayoweza kuyapata pale mwili utakapo anza kufanya jitihada za kuitoa.
Na inatokeaga tu, hivyo japokua sababu zipo nyingi lakini haiathiri mimba zijazo
Maana yakwamba mimba zijazo kuna asilimia mia nyingi za kukua na kujifungua salama tu.
Muhimu ni kua mpole fuata ushauri wa madaktari.
Pole na kua mvumilivu kwa kipindi hiki kigumu. Pole sana.
ThanxInaonekana.
Mradi bhcg level ziwe kati ya 1000-1500
Na iwe ys ya ukeni
Binafsi nishapima hizo kwa ujauzito 2
Ni kua mvumilivu tu. Yote yanamwisho.Hata Mimi Dr alisema hiyo brighted ovum huwa haijirudii Mara nyngi mimba nyngne zinakuwa salama tu
PoleHata Mimi Dr alisema hiyo brighted ovum huwa haijirudii Mara nyngi mimba nyngne zinakuwa salama tu
Ila wasiwasi wangu hiyo PID itapona kweli haiwez kunharibia mimbaPole
Najua inavyofrustrate
Ila usikate tamaa
Mungu yu mwema