Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Kwa nini? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Sasa ccm si watu 500 tu na familia zao kiongozi? Hujui hili? Unadhani kuna mtu wa inner circle hata mmoja anamjua chawa mwashamba? Na unadhani hawa wamama wanaovalishwa tisheti na vilemba vya kijana watagusa hata airport hizo? Wapo busy kuuza bamia za mafungu wapeleke watoto wao kayumba scul, hivi viwanja ni deals tu na 10% zake zinatunzwa Dubai, Jersey island na Mauritius na kwingineko, nyie pigeni mapambio tu
 
Watu 500 wanakuzuia wewe kupanda ndege?

Wamama wakivalishwa T-shirt wewe unapata shida gani? Inahusianaje na mada ya viwanja vya ndege?

Mwisho hata zingejuwa deals za 20% kwani viwanja huvioni?
 
Watu 500 wanakuzuia wewe kupanda ndege?

Wamama wakivalishwa T-shirt wewe unapata shida gani? Inahusianaje na mada ya viwanja vya ndege?

Mwisho hata zingejuwa deals za 20% kwani viwanja huvioni?

hahaha yani mi napanda ndege tangu upo kijijini kwako unatoka kamasi kiongozi naangalia wapiga pambio sio mimi, level hiyo hata sikuzaliwa nayo, ninaiishi!
 
hahaha yani mi napanda ndege tangu upo kijijini kwako unatoka kamasi kiongozi naangaliwa wapiga pambio sio mimi, level hiyo hata sikuzaliwa nayo, ninaiishi!
Kwa hiyo hutaki na wengine wasio na viwanja wajengewe nao wapande au? Maana unamwaga Kampasi mdomoni Serikali ikitimiza wajibu wake,shida Yako ni nini kwani?
 
Ameuza vile vile bandari zote na mbuga zote kwa waarabu! Ameanzisha rasmi utekaji na mauaji ya wale wasiokubaliana naye! Trash hayo unayoita maendeleo Tunataka HAKI!!
 
Ameuza vile vile bandari zote na mbuga zote kwa waarabu! Ameanzisha rasmi utekaji na mauaji ya wale wasiokubaliana naye! Trash hayo unayoita maendeleo Tunataka HAKI!!
Alaa kumbe baada ya kuuza vyote hivyo Kwa Sasa Nchi haipati tena Mapato ya bandarini au? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1844213868089966762?t=Si8z4yBD8J0Qp3cfLql3ZQ&s=19
Mbona hawajasema mbuga ya Waarabu ndio imeongoza hapa? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1844211309413630108?t=TTj_SHUxJNErNdQSw2zZLA&s=19
Mwisho Sasa mbona wewe hujatekwa?
 
Mwambie aache utekaji, mauaji kwa hofu ya kutupwa kapuni kama anajiamini kuwa atashinda! Akili ya kitoto ni ile unayofikiri kuwa kuuza raslimali zako kwa wageni kimagumashi hata kwa faida kiduchu ni haki! Bandari ni zetu na hata mbuga ni zetu. Aache kupambana na wamasai akiwafurusha kutoka kwenye makazi yao!!
 
Mbona wewe hujatekwa?

Si ajabu huna akili ndio maana unaongea mambo kipumbavu.

Mali zako zilizouzwa ni zipi hizo?

Masai lazima watoke kupisha uhifadhi,propaganda za kipumbavu kamsimulie mkeo.

Mwisho utake atashinda usitake atashinda.

Shy Airport ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/FMzaramu/status/1846888762430660687?t=CPrUmdPnWfEAenpApoe2YQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ