Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Mama yupo kazini
 
Tanga niliona uwanja wa ndege mwaka89 tena ukiwa na lami, upo majani mapana. Sasahivi naona auric air wanautumia.
Ulikuwa mdogo sana ,ndege za ATCL haziwezi kutua ndio maana unaona hizo ndege ndogo za watu 15,20 basi.
 
Nadhan kwenye National parks ni ukarabati wa Airstrips na sio airports
 
Nadhan kwenye National parks ni ukarabati wa Airstrips na sio airports
Ni ujenzi wa airports kubwa kabisa kile Ruaha na Selous ambapo runway zinawekwa tabaka la lami tena mita zaidi ya 1,750 ambapo Bombardier za watu zaidi ya 100 zitaweza kutua directly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…