Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Samia anafanya kazi nzito sana, kaifungua nchi kwa mapana yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Bado hajamaliza,anaendeleaSamia anafanya kazi nzito sana, kaifungua nchi kwa mapana yake.
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
- Kikoboga Airport Mikumi NP
- Ruaha NP Airport(2 Airports)
- Kahama Airport
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212
Hapoi Wala haboi ,ni mwendo wa kazi tuu 👇👇Mama yupo kazini
Tanga niliona uwanja wa ndege mwaka89 tena ukiwa na lami, upo majani mapana. Sasahivi naona auric air wanautumia.Una lami? Una tumika?
Ulikuwa mdogo sana ,ndege za ATCL haziwezi kutua ndio maana unaona hizo ndege ndogo za watu 15,20 basi.Tanga niliona uwanja wa ndege mwaka89 tena ukiwa na lami, upo majani mapana. Sasahivi naona auric air wanautumia.
Kazi ya usanifu inaendeleaMorogoro pia hakuna uwanja wa ndege tuliokuwa nao ni mdogo sana na unatumiwa zaid na wazungu wa tumbaku
Wewe ni msemaji wa TANROADS au MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE?Kazi ya usanifu inaendelea
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
- Kikoboga Airport Mikumi NP
- Ruaha NP Airport(2 Airports)
- Kahama Airport
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212
Ni ujenzi wa airports kubwa kabisa kile Ruaha na Selous ambapo runway zinawekwa tabaka la lami tena mita zaidi ya 1,750 ambapo Bombardier za watu zaidi ya 100 zitaweza kutua directlyNadhan kwenye National parks ni ukarabati wa Airstrips na sio airports
Nani huyo?Singida hawajapata airport bado?
Kuna mwanamke alisema kwao Singida ila hajawahi kwenda kwa sababu hakuna airport 😂😂.
Mmoja wa ma slay queen alikuwa anaji trendisha mitandaoni.Nani huyo?