Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Shinyanga Airport 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAqUKmAN1FR/?igsh=Z2Vyb3ozZWF4d2w3
habariclouds_1727958603689.jpg
habariclouds_1727958602645.jpg
habariclouds_1727958603434.jpg
 
Nice. Ila nikwambie tu kwa case ya Morogoro, haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari Morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
 

Attachments

  • VID-20241003-WA0069.mp4
    3.6 MB
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport

Hivi havihusiani naye
 
Sio KAZI ya Samia, hii ni KAZI ya Kikwete acha uongo
Wapumbavu hamuwezi kuisha.Kwamba 2001 Rais alikuwa Kikwete?

Huo uwanja ulianza kujengwa lini na ulikamilika lini?

Samia amekamilisha ujenzi wa huo uwanja Kwa zaidi ya Bilioni 30 za jengo la Abiria,kufunga rada,kufunga taa za Kuongoza ndege na maboresho ya runway na uwanja umekamilika mwaka huu disemba.

View: https://youtu.be/rzG0iisjCik?si=tDMytbUoJVHVyS-I

On top of that kazi ya ujenzi wa coldroom inaendelea 👇👇

View: https://youtu.be/CcFI8GA9tiQ?si=C9rA2YwzkP8_7SUh

Mwisho hao mashujaa wenu hakuna Cha maana walichofanya 😂🤣👇👇

View: https://youtu.be/U-BZmIzCI0E?si=wRhP2-SKRE9FAejv
 
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport

Hivi havihusiani naye
Akili huna unaropoka tuu.
-Songea Airport ulikamilika lini?

-Dodoma Airport aliyeweka Jiwe la Msingi na anaendelea na ujenzi ni mama Yako?

-Songea Airport ulikamilika lini na ilianza ujenzi mwaka gani?

Chato sijaifuatilia.Acheni kuropoka
 
Bahati mbaya wanaoweza kuvitumia ni innercircle ya ccm so ni kwa faida yao! Wakina mwashambwa na machawa wengine wabaki na katarama tu na chinjachinja zingine. Sasa mwananchi kule chole hii inamhusu nini?
 
Back
Top Bottom