davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 644
- 156
Lala ukiamka asubui utakuta stevu kishafanya yakeDuh wakuu nipeni dawa ya arosto
Sina usingizi mpenzLala ukiamka asubui utakuta stevu kishafanya yake
Nenda pale lugaro jeshini kapige kelele pale getin watukane uwambie unataka dawa ya arosto watakupa doz yakutosha[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Duh wakuu nipeni dawa ya arosto
Antidote [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Lala ukiamka asubui utakuta stevu kishafanya yake
Si ndio LeoJumatatu
Mimi mwenyewe nashangaa ilikuwa jumapili imefika jumatatu itakuwa ana tatizo ngoja tusubir nahisi yupo busySi ndio Leo
OK itabidi tuwaskilize wale walosema " subira yavuta kheri"Mimi mwenyewe nashangaa ilikuwa jumapili imefika jumatatu itakuwa ana tatizo ngoja tusubir nahisi yupo busy
Haraka haraka haina baraka anaweza leta hata tano LeoOK itabidi tuwaskilize wale walosema " subira yavuta kheri"