Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Unajua unafanya hatari sana mkuu wangu
Daah! !
Hatari sana
Mkuu sheng atatoboa kweli
Mkuu jona nae je [emoji27]
Can't wait
A lot of big up to you mkuu wetu
 
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] Mambo moto[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Unaendeleaje
Acha ule mtutu ulomwelekea bwn sheng usoni la hasha ni pale alipopandisha upeo wake usawa wa alieishika ile bunduki loh jona marehem mtarajiwa,bwn sheng akataka kutia neno ila kabla akaona kidole kikisogea kwenye ile silaha ilomwelekea hakutia neno tena.....
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu I assure you that ukipata madirector wakubwa hii kitu mkaitengeneza serious itauza sana tena Sana lakini sio Tanzania maana budget yake [emoji18][emoji18][emoji18]
 
Back
Top Bottom