steve jana alikuwa anabinjuka na valentine wake hebu tumvumilie naamini leo tutakuwa wote hapa[emoji12] [emoji12] [emoji1]Steve Leo tumeshinda tuwekee hata moja ya kulalia
Sawa ngoja tuvumiliesteve jana alikuwa anabinjuka na valentine wake hebu tumvumilie naamini leo tutakuwa wote hapa[emoji12] [emoji12] [emoji1]
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Na hapo ndipo atalia na kusaga menoKino shwain......umezidiwa akili na mwanamke! leo utamkumbuka miranda and its too late